@JayleenRickie Siku tumekatwa bogi la vitunguu mida ya saa 11 alfajili, mwamba nikachomoka time afande anahakiki bogi ile ile naanza vuka anga la B coy ikapigwa kaa chini muhuni nikaonekana, service man waliniungia balaa nilipata ajali mbaya ya mguu. Hiyo ni 832KJ
LOCKED IN SYNDROME;
Huu ni ugonjwa ambao mtu anakuwa Anapumua, Anasikia, Anaona na Kutambua kila kitu kinachomzunguka, lakini hawezi kuzungumza au kusogeza Sehemu yeyote ya mwili, Isipokuwa kitu pekee anachoweza ni kufumba na kufumbua macho.