@benkatwiga Kifupi tu kwamba, it is cheaper for them to borrow on the bond market than it is to use their cash reserves.
Gharama ya wao kukopa ni rahisi kuliko wao kutumia hizo hela zao ambazo makampuni makubwa mengi yanakua yamewekeza nje za nchi zao....