@EsirEid Mmarekani anapenda sana kutafuta loophole ambayo huitumia kuwajaza watu ambao hawafatilii na low minded people ili kutimiza agenda zao za siri sina maana ya kwamba Iran wako perfect ingekua ivoo wananchi wake wasingekua wanaandamana kuna kitu lia hakipo sawa unless wawe wamelipwa
@Zephania_Ndaki Kiongozi mkoani Agent ananunua per order. Agent ananunua mzigo mkubwa.
Mfano ni biashara yako mtu kanunua mzigo unaokupa faida ya milioni kumi na tano utashindwa kumsafirishia bure na gharama za usafiri ukazitoa wewe ili kumlinda mteja wako
(Marketing strategies)