Tukijivunia Uzanzibari wetu wanatuita WABAGUZI
Tukijivunia DINI yetu wanatuita wadini.
Wanatudharau kwa kila kitu
Cha ajabu bado wametung'ang'ania hawataki tuachane na tukidai Talaka wapo tayari watuuwe kuilinda ndoa.
Kwanini lakini ?
@kapondwe@Kiganyi_ Tupe Hesabu ya Raia wangapi wamekufa Iran na wangapi Israel
Ili tupime ukweli wa uliyoyasema.
Na Israel ameuwa watu wasiona hatia wangapi Lebanon na Palestina .
@EsirEid@mangekimambi Kwaiyo Mange anaona kuwalala hao anaoita watoto wadogo ( 13 ) ni bora Kuliko kuhalalisha ndoa zao ??
Miaka 13 mwanamke ana udogo gani kwani
Si tunawaona kibao huku mitandaoni na mitaani wamekomaa na wanahifadhi wazee wetu.
Mange ni mbupu kweli.
@ErickKamihanda Na kwa kuongezea tu kutokufa kwa Issa alayhi ssalam ni HIKIMA ya Allah si kwa sababu ya ubora kuliko Muhammad
Ata shuka tena duniani, ataishi, kisha atakufa kama wanadamu wengine.
Asante .
@ErickKamihanda Ndugu muandishi kwanza yapaswa ujue kuwa
Katika Uislamu, ubora haupimwi kwa kufa au kutokufa, bali hupimwa kwa daraja mbele ya Mwenyezi Mungu.
Muhammad Swallah Llahu Alayhi wasallam kufa ni SUNNA ya Mitume wote
Qur’an inasema wazi kuhusu hilo
kasome hii aya (Qur’an 21:34)
@BlackSingapore2 Jambo la kwanza muhim sana unatakiwa ujue kuwa Peponi hakuna Maumivu
Hakuna kuumwa hakuna kufa hakuna kuumia,
Soma kwanza halaf ubishane kwa hoja.
@TheChanzo Suali ni
Jee wasanii wamemtuma majizo awaombee iyo Radhi au ni Shobo zake tu anasema "Kwa niaba ya wasanii" awataje walomtuma ili wasemehewe.
@MdeePaschal Nadhani Kutakuwa na Sticker maalum au wino utawekwa kwenye uso wa mwenye boda kama alama ya kuwa tayari ametiki Sheli fulani asirudie 🤣🤣
Vichekesho vya nchi hii ni vingi sana.