@Rydx_017@athanas_pius@Balyx_@MissChelsea1221@DullahTheking2 Lugha siyo elimu kaka, lugha ni utamaduni, hauhitaji shule/elimu ili uongee kifaransa/ kiingereza/kijerumani/kichina/kijaruo/kisukuma nk.
Tukikuchukuwa hata wewe mwenyewe ukaishi ufaransa miaka 10-20 utaongea tu kifaransa bila hata kuingia kwa darasa.๐
@zoetjesheeftX Dunia ya sasa imejaa MADONDOA DUME (MADUME JIKE)
Mwanaume timamu unavaaje hereni, vitu vya wanawake, unasukaje nywele alafu ujione we n mwanaume mjanja!? Wanaume wanaovaa hereni, vipini, kusuka nywele, hawa ndo huwa masodomite.
I like Men being Men!
@NgomeshaD Kimulimuli chekundu cha dalili ya kuja kwake. Yeye alisema "Kama ilivyokuwa ktk siku za Nuhu, ndivyo itakavyokuwa wakati wa kuja kwake Mwana wa Adam. Nini kilitokea? Overpopulation, watu waluongezeka sana na wanawake wakawa warembo na very cheap. Mwanzo 6:1.....
@Sirajitz1 Yaani siku hizi wanadamu uzinzi wanaita eti mapenzi, hakuna mapenzi ni uzinzi/zinaa kaka, kwa nn mnaipamba na kupiga dhambi mgongoni? Yale yale ya kamar kuitwa bahati nasibu, si ajabu Neno linasema wakati huu ungefika ambapo wema utaitwa uovu na uovu utageuzwa kuwa wema.
@Elsukay0 Kimjazacho mtu moyo ndicho kimtokacho.
Mpaka umeandika kwamba siyo malaya na hakuna mtu aliyesema ni malaya, hiyo inaonesha dhamir yako imekusuta, na roho iliyo juu yake iliyomtia upako ni ya umalaya na ukahaba. Kwa nn aanike mwili wake namna hiyo kama si roho ya umalaya?
@VungaEl74 Nachokiona n kama marekani ameshawawin hawa jamaa, ukute hawa wako na marekani na wanakunaliana terms za namna ya kuitawala na kuiongoza Iran kwa maslah ya America, ukute hapo wanazuga ili ma IRGC yenye msimamo mkali yasiwashtukie, kumbuka Trump alsema regim change ilishafankiwa
@assengajrr Ila wanadamu wanatumia vyombo vinavyo move, so lazima waone dunia inazunguka, mfano, ukiwa kwenye chombo kinatembea speed, utaona milima na vitu vinamove, kumbe!
@Zephania_Ndaki Hii ndo kesi ya Kaini na Abel, mapacha wa baba wawili tofauti, mmoja wa Adam ( Abel), na mwingine wa Serpent (Kaini)
Imehsatokea pia huko USA, Norway, miaka ya majuzi ilitokea kama siyo Kenya basi Uganda.
@VungaEl74 Na hiyo ndo hushughurikiwa, ikiwa ni uvimbe tumboni huwezipasua kichwa, miguu mikono au mwili wote, doctor hudeal na sehemu yenye shida. Ndicho Israel na US wanakifanya pale Iran. Ila kwa vita Iran hawezisimama na hao jamaa kwa angalau siku mbili and that's a naked truth.
@VungaEl74 Kitu ambacho watu hawajui, Israe na US, hawako vitani, wao wako kwenye operation, Iran ndo yuko vitani, Israel na Us wakiingia vitani Irani siku mbili ni nyingi sana, sasa watu hawajui tofaut ya vita na operation, operation inahusika na sehemu specific yenye kitisho.