@Jambotv_ nimekupangisha nyuma yangu, jukumu la kuendeleza na kuisimamia ni loko, mkataba ukiisha utanirudishia nyumba yangu. so kuna haja ya kuhakikisha maboresho na ukusanyaji mapato vpo vizur na unafuu wa wtz kulipa kodi, (IMEPANGISHWA) haija uzwa
@bigi047 nafanyakazi ambayo siku somea ila natumia maarifa niliosoma kuifanyakazi hiyo,, (inategemea na kazi) kesho usijitambulishe kwa kaz unaweza poteza kaz ulionayo au kukosa kazi unayo itaka. tafsri kubwa endelea kuandika siri za watu unapo kosa pesa..
@Icon__08 jaribu kupenda aman binafsi, jipende mtu akikwaza jifikirie wew zaid tena kesho yako, acha aende, ww bado unaumuhimu binafsi ktk maisha yako, tena hata ndugu,mwanao,mke hana nafasi katika aman yako itakapotaka kuondolewa kwa ubaya lakin, jipende utampenda,
@nyuki_malkia hawa ndio wanaofanya serekali ionekane ipo upande wa ccm, unalazimisha mpaka unaonekana mjinga, unajibiwa kiakili mpaka unaonekana kilaza,, big up comred