@AirTanzania Napendekeza iwe Mumbai, Johannesburg, Guangzhou then Bangkok in that order kulingana na vile abiria wanapatikana kwa wingi katika hizo route kwa mpangilio huo. Hopefully I & my family will be flying AT to Lusaka Zambia in April to tour the Spectacular Victoria Falls @TTBTanzania
@mkuyata @001HQs@MwananchiNews Punguza hasira na stress uishi miaka mingi!!!
Kaa tulia soma, sio kila jambo lazima upandishe mumkari!!! Eu na USA wapi na wapi??? #shulemuhimu
@BalakaHussein@cw_pedro@akwilapo @emgeni @hpolepole Vituo vya afya 350 nchi nzima, kwa mil 400 per each, simiyu bariadi vimejengwa sita na vinafanya kazi!!!
Kumbuka: kila hospital moja ya wilaya ina sh billion 1.5! Na zimetengwa billion 105.
Hospital za rufaa tano nchi na hizi zote ni kwa mwaka wa fedha 2018/2019.
@BalakaHussein@cw_pedro@akwilapo @emgeni @hpolepole Mugumu Serengeti arusha road, namanga road, na zingine nyingi atafute aache uvivu
Hizo ni barabara tuu, kuhusu stand za mabasi, Kibaha pwani, simiyu bariadi, Dodoma mjini, singida mjini, msamvu Moro, dar stand(hii imeanza this week), korogwe stand, na zingine kibao!!!
@BalakaHussein@cw_pedro@akwilapo @emgeni @hpolepole Kuhuru barabara kuna mtu nimemuona ati anataka takwimu sikumjibu maana niliona ni mbishi tuu, kwa kusaidia (na kwa uchache sana)
Barabara ya bariadi maswa simiyu km 49, chaya 263km, Morocco njia NNE tayari km4, njia name za kimara Kibaha, km 19, nyakanazi km 265,
@BalakaHussein@cw_pedro@akwilapo @emgeni @hpolepole Elimu Bure,
Mikopo japo sio wote wanafuzni wanapata lakin angalau aliipandisha kutoka 7500 kwa siku mpaka 8500, na inatoka kwa wakati, ushahidi hakuna chuo kilichogoma kisa kuchelewa kwa boom!!!
Ushauri: wanufaika waongezeke waliopo hawatoshi!!
@BalakaHussein@cw_pedro@akwilapo @emgeni @hpolepole Kuhusu maji akisema dar ni mjini mwambie ukerewe kunajengwa na imefikia hatua nzuri sana mradi wa maji wa billion 9,
Mwambie arumeru mradi wa billion 520 wenye kutoa Lita million 290 za maji,
Simiyu mradi wa billion 346 wa maji kutoka ziwa Victoria, lamadi aliuzindua late 2018
@BalakaHussein@cw_pedro@akwilapo @emgeni @hpolepole Mwambie pia magufuli anajenga hospitali za wilaya 67 nchini, kwenye hili akiuliza ziko wapi mwambie aingie ofisi ya tamisemi azijue na kuziona sio michoro!!!,
Magufuli anajengwa visima na mabomba ya maji nchi nzima, dar mwaka 2015 kulikuwa hakuna maji dar uliza Leo au mnyika
@BalakaHussein@cw_pedro@akwilapo @emgeni @hpolepole Huyo jamaa bhana!!! Jk alikuwa hanunui chochote lakin madawati na hayo madarasa yalikuwa hakuna!!!
Magu kaja akatengeneza madawati milioni moja!!!
Magufuli kanunua vifaa vya maabara vya bilioni 16 vilisambazwa na jeshi,
Magufuli kawanunulia waratibu elimu nchi bodaboda 2999