MTOTO AMEPOTEA
Tunamtafuta mtoto wa dada yangu ELVIN MSIGWA (5) aliyepotea leo tarehe 13,2025 maeneo ya Buza, Tanesco Dar.
Mtoto anachangamoto ya kusikia na kuongea, kwa yeyote atakayemuona atoe taarifa kupitia namba.
0654177002/0766779191, Mungu awabariki 🙏
Salaam Watanzania.🇹🇿
Tafadhali tuendelee kushirikiana kuifanya jamii yetu mahali salama pa malezi na makuzi ya watoto wetu na ustawi mwema wa makundi yote.
Tushirikiane kufikisha salaam hizi kila ukurasa online kila mtu azipate, TikTok nako kapandisheni tafadhali. Vita ya ukombozi wa fikra hupigwa na watu wema wanaojali (CARE).
@maendeleoyajamii @tanpol @tcra_tanzania @katibanasheria_ @wizara_afyatz@tmda_tanzania @ortamisemi @viwandabiashara