''Mbatia amechukuliwa hatua na vikao vya chama kwa mujibu wa katiba na sio utashi wa mtu binafasi au watu flani ndani ya chama'' - Frank Ruhasha, Katibu Mwenezi @nccrmageuzihq#EastAfricaRadio#SupaBreakfast
''Sisi kama NCCR-Mageuzi kwasasa hatutaki kuongelea sana maana mpaka muda huu tunazungumza Mbatia sio mwanachama wa chama chetu, hivyo hatuwezi kutumia muda wetu kumzungumzia mtu ambaye sio mwananchama wetu'' - Frank Ruhasha, Katibu Mwenezi @nccrmageuzihq#SupaBreakfast
Katibu wa Itikadi na Uenezi @nccrmageuzihq Frank Luhasha ametaja sababu iliyochangia kumvua uanachama aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho James Mbatia.
Supa Breakfast ipo hewani muda huu mpaka saa 3:00 Asubuhi.
@Mtz2023 @TheChanzo dar sababu kubwa kuna shughuli nyingi zinazofanyikia mikoa mingine ila malipo yanafanyikia dar mfano kwenye suala la migodi ya dhahabu n.k
@funjojr Moja ya matatizo ya nchi hii hatuamini katika vyetu yaani mtanzania kujaza watu kiasi hicho mmeanza kusema watu wanaumwa Tb kajaza kiwanja zaidi ya hicho s.korea Mexico etc Bill Graham kafanya hivyo mataifa kibao ikiwemo USA ..Joyce meyer kafanya sana leo kwa Mwaposa inakuwa shd
@mabuladd@katisha_gisela@ExMayorUbungo Nalifaham hilo andiko halina dalili ya kumzungumzia Mwamposa coz mikesha kuombea watu mema n.k kama afanyavyo Mwamposa sio matunda mabaya kaka! Kama ayafanyayo hayatoki kwa Mungu atapotea tu, msipambane kumpoteza hilo atafanya Mungu mwenyewe mana yeye hawez kuitetewa na bdam.
@mabuladd@katisha_gisela@ExMayorUbungo Japo najua waweza enda na maji yako ila kama Roho mtakatifu akimwambia wewe utasikia? Au unataka kujipa mamlaka ya kujua jumbe zote zinazotoka mbinguni?
@PabloYende Hujui kama kupata kazi ni miujiza au unadhani ni kawaida ndg acheni kejeli haya mambo yalikuwepo tangu na tangu mbona tuna kazi zetu lakini tumefatilia na hatujajutia na tuna akili tena zimethibitishwa? Acheni kejeli ili uonekane wa tofauti
@Mchizijay Kama unataka kufanya hilo pendo tafuta mke oa acha kusifu mambo ambayo ukifa huwezi kujivunia kama utani unajikuta unatumika kuuharibu ulimwengu kwa kushawishi mambo mabaya
@gomeissa1@ThabitSenior@HildaNewton21 Ila kwenda Fiesta ndo akili zilizochangamka bora mtu adanganywe akienda kumtafuta Mungu kuliko aambiwe ukweli ili aende kwenye dhambi na uharibifu
@mjukuu_wakwanza@ThabitSenior Tunahitaji tuwe na ICU kwa only coz watu wameenda kumuomba Mungu ila wakioana wanaume kwa mwanaume ni sawa wakienda kwenye show za wasanii mnasema msanii ni mwamba duuuh Mungu akusaidie sana
@mdudechadematz @ThabitSenior Ujio wa neno la Mungu duniani ndugu yangu ni kwa sababu ya matatizo so wenye matatizo wameenda sehem salama ila cha kushangaza watu wanataka kuaminisha kuwa wao hawakwenda coz hawana matatizo sasa bila matatizo Yesu alifia nini msalabani hii ina maana zaidi ya kejeli
@mounthanang @ExMayorUbungo Anyway sasa nimeelewa hata kama ungekuwepo zama za Yesu ungemuonaje Yesu coz hata yeye alikuwa rafiki wa walevi malaya na wenye dhambi wengine hayo mambo ya kiimani ndugu yangu sio ya kuwa mwepesi wa kuhukumu hayo mambo chanzo chake sio akili za wanadam Mungu akusaidie