@mugheiry_rashid@raiyajenerali Unabwatuka bila kutafakari, ungalimfahamu Jenerali walau robo sidhani kama ungaliandika hilo, ndiyo maana hajahangaika kukujibu.
@lifeofmshaba Mweupeeeeee kama alomtia bungeni maana PhD yake ilipohojiwa akaamua kutoa roho aloihoji naye Mola hakumuacha sasa na hawa acha wamkufuru Mungu
@TheChanzo Hatuwasangai sababu hilo si bumge la wa Tanganyika bali ni GENGE la Magu aliloliandaa kwa kazi zake ambazo Mola aliamua asizifanye kwakuwa hazikuwa na faida kwa wananchi.
Sasa nanyi endeleeni kutapika mkitarajia kurudi humo, mtalia na kusaga meno
@davidmanyota@MariaSTsehai@SuluhuSamia Jione upo salama ndugu, siku litakapokukuta au kumfika mwana ndani wako ndipo utaelewa kuwa Dada Maria hatetei nduguye
@MadondiaPower@guykarema@PaulKagame Ni kweli kabisa, hawana miaka 10 as maximum!!! Watalia na kusaga meno kisha kulalamika kuwa PK aliwaingiza mkenge!!