@ccm_tanzania Serikali ya awamu ya sita imeonyesha udhaifu mkubwa sana kwenye kuhandle Majanga, Poor coordination, Poor decision making and delaying! Kazi kubwa ni kuongea na Media na Kumshukuru Samia. Mpaka Sas watu wamefukiwa hakuna la maana linalo endelea always wananchi ndo tunaomokoana
@DrCyrilo Vip kuhusu zanzibar kua one of the leading travel destinations in the world with the highest possiblity of holding major events. But personally kizimkazi stadium Si support sana