@tonytogolani Kuna ndugu yangu analalamika sana
Anasema akiacha pombetu utafutaji na upatikanaji waliziki kwake unakua watabu alilewa sasa mambo kwake yanakua mteremko
Nasisi tunaliona hilo
Tumshauri nini?
Aache aendelee
@JemsiMunisi Kutengeneza GPS ndogo sana itayo tumia betri mbili zasaa
ambayo utaipa jina wewe
Ambayo uta tumia App maalum ili
Kujua GPS yako ipowapi
Hii
Utatumia kwa mizigo kwawale wanao agiza mizigo mikoani
Ili kukulaisishia kujua mzigo wako ulipo
#UZI
๐จ Baada ya Marekani kupitia Trump kumkaba kooni China kupitia Huawei
Huawei akaamua kuiuza Brand yake ya Honor, sasa ipo chini ya Shenzhen Zhixin New Information Technology Co., Ltd. Ambapo hii kampuni ipo mtaa mmoja na makao makuu ya Huawei ๐๐
Hizi ni nini?๐ Twende ๐
@DaddyBambi1 @RealHauleGluck @IAMartin_@IAMartin Huyu jamaa nilimzidi hoja ndogo sana akani block
Nimwana Harakati anae taka mawazo yake yawesawa na yakilamtu
@HildaNewton21 Mwanasiasa akikwambia jua limezama toka nje ukahakikishe
Aliesema haya misimjui
Ila sharti lakwanza lakua mwana siasa ni kua na uwezo mzuri wakuongea uongo mwingi na Ukweli mchache
Hilo nisharti la kwanza kabisa alafu mengine yana fatia
Hivo tutumie Akili sisi wananchi