SADERA staff was part of the participants in the training conducted at Katavi for the first two days of this week, we succeed to build a Kigoma and Katavi Network for the sustainability of participatory health project @AmrefTanzania@USAIDTanzania
✨UZAZI NI MAISHA!!
Umekuwa miongoni wa MAELFU waliogusa maisha ya mama na mtoto kupitia Kampeni ya UZAZI NI MAISHA yenye lengo la uchangiaji wa VIFAA TIBA KWA UZAZI SALAMA!
🤝Tulianza Pamoja, Karibu tena TUHITIMISHE PAMOJA! Changia tena leo – Leta Tofauti - Gusa Afya ya Mama na Mtoto!.
💸 Unaweza kuwa mfadhili kwa kuchangia fedha au vifaatiba. Tuma mchango wako kupitia Absa Bank akaunti namba: 0014006699 (Tshs)
💸 Pia unaweza kutoa mchango wako kiasi chochote kuanzia Tsh 1000 kupitia lipa namba MPESA, 5529421; (mitandao yote), TIGO-PESA 6633523 (mitandao yote)
----------------------------------------
✨"LIFE SAVING - UZAZI NI MAISHA"
🤝 You have been among the THOUSANDS who touched the lives of mothers and children through the LIFE SAVING - UZAZI NI MAISHA campaign by contributing MEDICAL EQUIPMENT & SUPPLIES FOR SAFE DELIVERY!
🤝We Started TOGETHER; LET'S ACCOMPLISH IT! Donate again today Touch the lives of mothers and children. 👩👦 🤰🏾
💸 You can sponsor by donating money or medical supplies Donate through ABSA Acc No 0014006699 (Tshs)
💸 You can also make your contribution in any amount starting from Tsh 1000, Through LIPA Number MPESA, 5529421; (all networks), TIGO-PESA 6633523 (all networks)
#UzaziNiMaisha2024
#ChangiaVifaaTibaKwaUzaziSalama
cc. @AbsaTanzania | @mohznz1@DrFlo6@Aisa_Muya@Elly_Paschal
↘️ Equipping CHWs for better community-based services! We’re rolling out the Unified Community System (UCS) intervention in Mara and Simiyu region, focusing on PMTCT and community care modules. CHWs will streamline client registration and referrals, reducing paperwork and enhancing HIV care quality.
@PEPFAR | @CDCTanzania
#AfyaThabitiProject
#CommunityHealth
#PMTCT
#HIVCare
WFP’s Kilimo Tija Kigoma (KITIKI) project funded by @KoicaTanzania supports AMCOS to thrive as cooperatives, collectively aggregate + market agricultural produce. KITIKI donated warehouse equipment to 35 AMCOS with support of @GoodNeighbors + @WV_tanzania
As we commemorate #WorldHumanitarianDay this week, we celebrate + appreciate Humanitarian workers at @WFP
Meet Deborah Esau, Nutrition Officer at WFP Tanzania 🇹🇿 We thank you for your service
#SavingLivesChangingLives
📍Morogoro-ECD stakeholders from government and CSOs convene for the Tanzania Childcare Campaign report validation. Organized by @maendeleoyajami and TECDEN, emphasizing multi-sectoral engagement in advancing child care initiatives nationwide. #ChildCareCampaign#InvestInChildren
📣🌍 Calling all African youth climate advocates: apply to be a Youth Delegate at #COP29!
The 3rd annual Climate Mobility Pavilion Youth Programme will bring together a group of unique young people to advance climate action.
Apply here: https://t.co/uyh53KII0l
THPS, through the Afya Hatua project in collaboration with @wizara_afyatz , @ortamisemi , PATH and Ubunifu Solutions Ltd, is deploying an electronic sample referral system for GeneXpert Point of Care machines in Pwani region.
Vijana Mko Tayari??
Countdown to #InternationalYouthDay
3000 Youth under one roof #Dodoma 📍
Tanzania Vision 2050 #LetYouthLead#Tanzania’s youth will take centerstage to make their voices heard & shape their future.
Every young person’s potential is fullfilled 💪🏽
#UNTZ 🇺🇳
TTCN was thrilled to be part of OneNetwork Project inception Meeting hosted by @mkuta_tanzania in Dodoma on 22nd July 2023. The project aims to improve identification of TB patients through m-health platforms and as part of m-health platform users through #OneImpact#TBKiganjani
Madaraka ya Wananchi Juu ya Serikali
Ibara ya 8 (1) (a - d) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania (1977) ndio inatafsiri ‘madaraka ya wananchi Serikalini’
ikisema:
● Wananchi ndio “Msingi wa Mamlaka yote ya Serikali”
#MarkYourCalendar 💫 #EndMalaria Dialogues on 2️⃣9️⃣ May (1:30pm CET) around the 77th #WorldHealthAssembly of @WHO is on the theme: "With 78 months left to end #malaria by 2030, are we on track?"
Register on Zoom
https://t.co/COKsqb7EzL
Watch on YouTube
https://t.co/5p4aaAr9ha
MARUFUKU KUUZA VITABU VYA KLINIKI - WAZIRI UMMY
Na WAF - Dodoma
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amepiga marufuku kwa watendaji wa Wizara ya Afya na wadau wake kutowauzia
Wajawazito vitabu vya kliniki huku akimuagiza Katibu Mkuu kuhakikisha vitabu vinapatikana muda wote.
Waziri @ummymwalimu amesema hayo Mei 10, 2024 jijini Dodoma katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma wakati hafla ya kuzindua zoezi la usambazaji wa kadi za maendeleo ya Kliniki kwa wajawazito na watoto.
"Nimarufuku kuuza vitabu hivi kama ilivyo andikwa kwenye kitabu hiki, Rais Samia ametupatia fedha kwa ajili yakuchapisha vitabu hivi hivyo asipatikane mtu atayepata uchu wa kuuza tena.” Amekemea vikali Mhe. Ummy
Aidha, Waziri Ummy amesema suala la mama na mtoto ni kipaumbele cha Serikali kwa sasa ili kuweza kufikia malengo ya milenia, hivyo ugawaji wa kadi za mama mjamzito, watoto wa kike na wakiume ni moja ya hatua zakufikia malengo hayo.
Kuhusu vitabu vilivyo tengenezwa, Waziri Ummy amesema wamezingatia mahitaji yaliopo ambapo inakadiriwa kwa mwaka kuwa na wajawazito Milioni 2 na watoto wanao zaliwa ni Milioni 2.
"Kwa sasa mbali yakuboresha Kadi zetu na kuzitofautisha baina ya ile ya mama mjamzito, mtoto wa kiume itakayo kuwa na rangi ya Bluu na ya mtoto wa kike itakayokuwa na rangi ya Pinki.” Amesema Waziri Ummy
Katika hatua nyingine, Waziri Ummy amewataka wa-mama wajawazito kuwahi Kliniki mapema katika miezi Mitatu ya Kwanza ili kuweza kumsadia Mama kujua maendeleo ya ukuaji wa mtoto awapo tumboni.
Awali akimkaribisha Waziri Kuzungumza, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Grace Magembe, alisema kama kuna kero ilikuwa ikimkwaza Waziri ni pamoja na kukosekana kwa kadi za kliniki hivyo uchapishaji huo ni sehemu yakwenda kuondoa kero hiyo.
"Wakinamama wamekuwa wakiacha kwenda Kliniki kwakuwa walikuwa wanauziwa kadi hizi, sasa Serikali imechapisha kadi zakutosha na tutaendelea kufanya hivyo kila mwaka ili kumuepusha Mama na kadhia hii.” Amesema Dkt. Magembe
Awali akitoa salam za Mkoa na kwa niaba ya Mikoa Mingine, Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma amesema, Mkoa huo umekuwa mstari wa mbele kupunguza vifo vya mama na mtoto hivyo ujio wa kadi hizo mpya utakuwa kichocheo cha uimarishaji wa huduma katika mkoa wao.
Kwa sasa Serikali imesha chapisha jumla ya vitabu Milioni 1.2 vikiwepo vya wamama wajawazito laki 600,000 na watoto wa kiume laki 300,000 samba na watoto wa kike laki 300,000 ikiwa ni makadirio ya nusu Mwaka.
#Today! TECDEN participated in the Launch of study reports on:
➡️The Political Economy of Early Childhood Development
➡️Reintegration of Teenage Mothers into Formal Secondary School in #Tanzania by @HakiElimu🚀
Insightful findings that could drive impactful policy changes in ECD.