Bado siku 5!
Tunapoelekea #MO29 kuwa wewe ni shahidi muhimu wa historia
Rekodi tuma kila unachoona
Muhimu sana kuanza kuweka simu na nyenzo zingine muhimu kama maji na bendera sawa
Pakua VPN
#OktobaTunatoka
Jana 22/10/2025 Polisi DSM walimweleza Mkurugenzi wa Sheria @ChademaTZ2 kuwa Makamu Mwenyekiti Bara @HecheJohn imepelekwa Tarime.
Dakika chache zilizopita Wakili na Ndugu wamefuatilia Polisi Tarime lakini wameelezwa kuwa hajapelekwa Tarime.
Hivyo IGP @tanpol toeni taarifa kwa umma Mpambanaji John Heche mmempeleka wapi na ana hali gani?
Natoa mwito kwa vyombo vya habari na wadau wote wa haki, uhuru, utawala bora, demokrasia na utawala wa sheria kitaifa na kimataifa kufuatilia hatma yake. Taarifa zaidi ya Chama itafuata #WhereIsJohnHeche #FreeHeche
Uadilifu na Hatima ya Taifa Letu
Tumekuwa wakatili sana. Tumeacha uharibifu mkubwa umetokea kuanzia kwenye maadili hadi katika mifumo yote ya utawala nchini. Leo hii tunategemea watoto na wajukuu wachukue jukumu kubwa la kusaidia kusudi jema, ilhali sisi tuliokuwa wazazi tumeshindwa kutunza msingi wa taifa letu. Kila mtu atalipa gharama ya kukaa kimya wakati uovu huu unashamiri.
Ni dhabihu gani hatujalipa katika kujali mambo mema ya nchi hii? Hata sasa, Mwenyekiti yuko jela, amepigwa risasi, na bado ana ulemavu. Watu wetu wengi wameuawa na wengine wamepotea , wengine wamebaki vilema, na wengi wako mahabusu kwa sababu tu ya kujali kusudi kuu la haki na uadilifu.
Swali la kujiuliza ni hili , Mnafikiri “pole yenu” ina maana gani, kama kiwango chenu cha kujali ni kunywa pombe, umalaya, na kuvuta shisha? Je, mnafikiri masuala ya utawala bora na haki ni jukumu la chama kimoja pekee, mfano CHADEMA? Hapana. Wajibu wa kujenga taifa lenye haki ni wa kila raia.
Ngoja misingi ya utawala bora iendelee kuharibika ndipo mtakapojua kuwa kila mmoja wetu alipaswa kujali toka zamani. Kama mtu kama Lissu anaweza kukamatwa na kupewa kesi za uongo kabisa, je, unadhani wewe utakuwa salama kwa lipi? Ni habari ya muda tu.
Nyumba mnazojenga kwa kujipendekeza kwa uovu hamtaishi ndani yake. Watoto mnaowalinda kwa kuwekeza katika hofu na upendeleo hawataweza kuwa na sura ya heshima kama binadamu wenye uadilifu na thamani. Najiuliza kila mara, nakosa usingizi! Unaiba hela za barabara na za madawa ili ununue gari la kifahari kama V8 ya kwenda nalo kwenye vilabu vya pombe , na naumiza watu ili upande cheo ? Halafu ikusaidie thamani gani ktk kuishi ? Ni ndoto za kijinga kabisa, tena zenye upweke mkubwa sana. Majuto yatakuja kwa kila mtu katika taifa hili.
Utasikia wengine wakisema, “Mh, tuko pamoja!” Pamoja ya nini? Pamoja ya kuishi kwenye vilabu, pombe, na umalaya? Kizazi chetu kimepotea. Tumekuwa kizazi cha kipumbavu, tunachoishi kama wanyama wasio na akili. Kesho ni ngumu sana.
Mifumo yetu ikioza kabisa, mke wa mtoto wako atafanyiwa upasuaji na daktari aliyefaulu mtihani kwa kutumia CHAT GPT badala ya ujuzi wa kweli, na mtoto pamoja na mama watafariki. Hiyo ndiyo kesho yetu matokeo ya kipaumbele tulichoweka kwenye pesa badala ya utu. Fahamu zetu zimefungwa kabisa. Tumekuwa WAPUMBAVU.
Kumbuka, kuna siku mke wako au mume wako atadhalilika, akiuza mwili wake ili apate pesa za ada au bili ya umeme. Hiyo ndiyo misingi tuliyoweka katika familia zetu. Tumeamini pesa ni kila kitu. Inasikitisha sana.
Lakini kama utajali hautapata hasara, kwa maana imeandikwa na Mfalme Daudi katika Zaburi 37:25:
“Nilikuwa kijana, sasa ni mzee;
kamwe sijaona mwadilifu (mwenye haki) ameachwa na Mungu,
wala watoto wake wakiombaomba chakula.”
Jambo letu linaanza KESHO rasmi.
Tulikubaliana kuwa kwanzia saa 12 kamili jioni itakuwa ni saa ya kupiga kelele kitaifa kwa muda wa dakika 5.
Kama upo kwenye GARI piga honi za kutosha—rekodi nitumie DM.
Kama unatumia BAISKELI piga kengere na honi za kutosha—rekodi kisha nitumie DM.
Kama upo kijiweni na washkaji pigeni vigelegele, puliza mavuvuzela, puliza kengele kisha—rekodi nitumie DM.
Kama upo NYUMBANI piga kelele za kutosha kwa kufungulia mziki wa kutosha, kupiga sahani, kupiga filimbi za kutosha kisha—rekodi nitumie.
Ukiweza post kwenye mitandao yako pia kuongeza USHAWISHI na kuwatia moyo ambao bado hawaamini kama maandamano yanawezekana.
Hii movement ni kubwa sana na haina mwisho, mwisho wake ni UKOMBOZI wa hili taifa. Share taarifa hizi kwa watu wako wa karibu kuwa kwanzia kesho NI SIKU YA KELELE kitaifa kwahiyo wakisikia ngolo wasiahtuke ni rasharasha kuelekea #MO29
#MO29
#MaandamanoOktoba29
#SiriNiNamba
#OktobaTunaToka
#TUPOWENGI
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Watu wabay ambao ni wachache, wanatishia uhai wa watu wema ambao ni wengi.
Ninawasihi watu wema msikubali, inakuaje wenzetu ambao wamekua sauti yetu wanapotea kama kuku, alafu tunarudi kula, kulala na kusahau…
Hii ikiendelea bila kuchukua hatua sauti ya watu wema itapungua na kupotea na hali itakua mbaya sana .
Watu wabaya wakijitawala bila kukemewa watatuuza mchana kama watumwa walivyouzwa.
MUNGU AKUBARIKI SANA MKUBWA.
LEO WATANZANIA WACHACHE WANAHONGWA BAISKELI WANAJIONA WANAPENDWA SANA HUKU NCHI IKIIBIWA USIKU KUCHA.
HUU UMASKINI TULIONAO NI MPANGO KAZI WA WAKOLONI WEUSI. LAZIMA TUKATAE HII HALI.
29.10 TUTATOKA KUIDAI TANZANIA YETU.
TUTAKUWEPO🫵😎
“Hayo ni maneno yangu, niliyasema mimi.
Hayo maneno sio kosa lolote kwenye Nchi yetu, achilia mbali kosa la uhaini.
Mimi ni mwanasiasa ni mpinzani wa serikali hii, mpigania demokrasia, napinga mfumo wa uchaguzi mbovu kwenye Nchi hii kwa kufanya hivyo hilo sio kosa.”
Tundu Lissu.
150 days behind bars.
8 years after surviving an assassination attempt.
Tundu Lissu still stands for justice and democracy in Tanzania.
We call for his immediate release as well as for free and fair elections on 29 October 2025!
#FreeTunduLissu
Wanachama 10 waliokua wanashikiliwa Central Police Dsm kwa siku 7 leo wameachiwa kwa dhamana.
Tunashukuru wote kwa kupaza sauti, mawakili pamoja na kituo cha sheria na haki za binadamu @humanrightstz kwa msaada wa kisheria kupitia Ad.Maduhu.
Humphrey Polepole exposes CCM election manipulation syndicate
The National Identification System (NIDA) was integrated with the electoral commission to create a mechanism allowing CCM to pre-determine votes before elections. https://t.co/fTYKUn8GvS
All in all #FreeTunduLissu NOW!
Mnavyozidi kumshikilia Lissu mnazidi kujiharibia na kuharibu nchi @SuluhuSamia
The situation is untenable!
Mwachieni Lissu!
Kwa kauli ya Polepole ya jana #NoReformsNoElection is the only answer na watanzania wote kwa umoja wetu tumeshakuwa of one mind!
Mabadiliko sasa!
#LissuSjyoMhaini
Polepole anasema
Kipilimba alienda NEC kuweka mifumo then, akaenda NIDA ili Mifumo ya NEC na NIDA zisomane then akaenda TISS kuhakikisha CCM is anakuwa na access ya hizo mifumo
Lissu aliwataja Kipilimba na 0 kuwa nyuma ya mpango wa kummaliza. Wiki 3 baadae Lissu akashambuliwa
Surah At-Tawbah 9 :18 inasema
"Hakika wanao amirisha misikiti ya Mwenyezi Mungu ni wale wanao muamini Mwenyezi Mungu, na Siku ya Mwisho, na wakashika Sala, na wakatoa Zaka, na wala hawamchi ila Mwenyezi Mungu. Basi huenda hao wakawa katika waongofu".
Mungu ibariki Morocco 🇲🇦
Tanzania's🇹🇿 recently resigned Ambassador to Cuba🇨🇺, Humphrey Polepole, delivers a scathing attack on President Samia Suluhu Hassan and her ruling party, CCM, while warning Tanzanians that the outcome of the upcoming election in October is predetermined.
"There will be no free and fair elections this year. There are none. And here I am speaking to the people of Tanzania. This year there will be no elections. It is CCM against the parties that it has organized with the authorities. CCM is entering the elections on its own. Why should we talk about there being elections when in fact it is a sham? Anyone who loves Tanzania will know there will be no elections this year," he says.
"All Tanzanians stand up, speak loudly and stop this election until we all have a national conversation. I have played my part. Now play yours," Polepole adds.
The diplomat who relinquished his diplomatic role in Havanna and resigned from overseeing his country's interests in the Caribbean, Central America, Colombia, Venezuela, and Guyana, cites serious concerns for his safety stating that "I live in secret because it is no secret that they are looking for me a lot and I ask them why are you looking for me? We gained independence in 1961, and the union in 1964 so that we can be free. Am I a thug? Am I not allowed to speak about my country?" #TanzaniaDecides
Polepole kaungama mbele ya umma & kuomba msamaha.
Kama kitubio chake,
karusha Bunker Buster Bomb kwa Bi Samia & CCM
Mifumo ya uchaguzi kuwa INEC+NIDA+CCM; ni kwamba Samia & CCM washapora uchaguzi kabla haujafanyika.
Ndio maana #NoReformsNoElection
yapaswa kuwa wimbo wa Taifa!