Claude can build your entire job application — CV, cover letter, interview prep — in under 5 minutes.
Here are 10 prompts that make it happen.
(Save this before you apply to your next role 👇)
I DON’T UNDERSTAND WHY PEOPLE DON’T USE CHATGPT FOR JOB SEARCHES.
I got 5 interview calls in 7 days, all with ChatGPT as my recruiter.
Here are the prompts that I used:
BROOO THIS IS STUPIDLY GOOD 🤯
Give Claude one topic and it can map your next 30 posts.
Hooks, formats, angles, and posting ideas from one system.
Here are the prompts 👇🏽👇🏽
RIP Mhe Lukuvi. Mama Germina na familia, Mungu awape nguvu. Kwa miaka 10 pamoja Bungeni na kwenye NEC tulifundishana mengi: ukinieleza hali halisi ya MFUMO na mimi nikihimiza kuwa "WE ARE FIGHTING POVERTY NOT THE POOR" sentensi iliyokufurahishaga sana ukinitania kuwa ni mwanaharakati wa kudumu. Zaidi tulibishana sana kuhusu ujenzi wa depot ya mabasi ya mwendo kasi hapo Jangwani. Wewe ukiwa Ofisi ya mhe Waziri Mkuu Pinda ulitaka kuendelea na ujenzi hapo Jangwani tusichelewe. Mimi nilionya kwamba ni environmental hazard na itakuwa hasara kubwa kwani patafurika tu. EIA ilitolewa kimakosa na Waziri wa Ardhi ana mamlaka kamili juu ya maeneo oevu. Nikasimamisha ujenzi na kwa kuwa Rais Kikwete alishanipa assurance kuwa pasijengwe tukawatafutia sehemu nyingine huko Ubungo Maziwa kuhamisha kituo. Ukaniangalia, nikiri kwa amusement na kunikumbusha "PROFESA, SUBIRI, PATAJENGWA TU na MFUMO". And sure enough baada ya wiki 2 hivi nikaona ujenzi unaendelea bila kibari cha Wizara ya Ardhi. Hali halisi. Baadaye ulipoteuliwa kunirithi kuwa Waziri wa Ardhi tarehe 26.01.2015 nilikukabidhi ofisi kwa andiko maalum na matumaini makubwa ya kuendeleza flagship projects zilizokuwa katika hatua mbali mbali za utekelezaji: Kigamboni New City; DSM Masterplan; Makongo Juu Redevelopment Scheme; Wazo Hill/Bunju Resettlement program; Bagamoyo Eco Energy; Land Tenure programs mawilayani ikiwemo Loliondo Village Survey Project kukomesha migogoro na hata NHC Special Programs Audit ya miradi kama wa Kawe kujua ufanisi wake. nkd. Hivo tulifanya kazi pamoja, kadri ilivyowezekana, ni masikitiko kuagana ghafla hivi. Muumba wetu Akujalie raha ya milele.
Tatizo lilianza hapa. Mahakama inatakiwa iwe huru ili iweze kutekeleza jukumu lake la kikatiba kama chombo cha kuzuia Serikali na Bunge kupitiliza madaraka yake kisheria au kufanya vitendo kinyume cha katiba. Mahakama huru itakemea na kubatilisha matendo yaliyo kinyume cha katiba
Baadae kikiwaka mnaanza kutafuta chanzo kumbe chanzo ni Mahakama yenyewe na injustice kwa watu, bado mnadhani imani ya watu kwa mahakama itajengwa na kesi za mashamba! Sidharau kesi za mashamba, hapana! Mahakama inapoombwa kutoa sauti iwe tayari sio kujificha! Nyie ni chanzo.
Watanzania achaneni na Majizzo na wapuuzi wengine. Kwa hali ya sasa sio Majizzo tu hata Kusaga wiki ijayo atawaombea msamaha wasanii. Kwa sababu hizi
1. Radio & Tv zinakufa pia sio wasanii pekee
2. Serikali batili inahitaji Watanzania mrudi kuwa busy na wasanii ili wao waendelee na unyonyaji na uuaji.
3. Wasanii ndio tegemezi la CCM katika kuhamasisha Jamii, so wananchi mkiwapuuzia na kuwapotezea wasanii na serikali batili imepoteza nguvu juu ya wananchi.
4. Wanataka nchi irudi kwenye hali ya zamani, yani wananchi mko busy na wasanii na sio seriajli.
LISSU AWASILISHA OMBI MAHAKAMA KUU, KESI YA RASILIMALI ZA CHAMA:
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe Tundu A. Lissu amewasilisha Maombi mahakama kuu ya Tanzania akiomba kuunganishwa kwenye shauri namba 8323/2025 lililofunguliwa na SAID ISSA MOHAMED na wenzake dhidi ya Bodi ya wadhamini wa Chama na Katibu Mkuu wa Chama.
Mhe Lissu anaiomba mahakama aunganishwe kwenye shauri hilo maarufu kama kesi ya wazanzibari ( kutokana na kufubguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Zanzibar) ambapo Mhe Lissu anaomba kuunganishwa kama mdaiwa.
Mtakumbuka kwamba kesi hii ndiyo ilisababisha Chama kuzuiliwa kufanya shughuli za siasa pamoja na zuio la kutotumia rasilimali za Chama uamuzi uliotolewa na Jaji Hamidu Mwanga.
Maombi hayo, yameshasajiliwa mahakamani na kinachosubiliwa kwa sasa ni wito (summons) kwa wajibu Maombi hayo ili taratibu za kusikiliza Maombi hayo zianze rasmi.