Hongera Serikali kuguswa na hali ya Mzee Waikela. Leo adhuhuri Mwakilishi wa Serikali amefika MOI na kutamka: “Nimetumwa na mheshimiwa kuthibitisha kama Mzee yupo hapa. Nimeagiza malipo Serikali itagharimia”. Tayari Mzee Waikela kahamishiwa Prvt. 1 room F. Ni hatua ya kupongezwa.
Akaomba mara tatu akakosa nafasi sababu maombi ya wajasiriamali wa chakula yalikuwa yametosha tukamjibu nafasi zimejaa kama ambavyo tumekuwa tukiwajibu wajasirimali wengi.
Baadhi ni ushahidi wa mawasiliano yetu na Ndugu Mudi.
#TOTBonanza
Tunaomba kuweka sawa jambo ndugu @MudiMabiriani aliomba kushiriki #TOTBonanza ya kwanza kabisa 6/12/2018 kuleta chakula siku ya Bonanza hakutokea
Akaleta maombi ya Pili 6/3/2019 kwamba anakusanya oda ataleta msosi ikafika siku ya tukio hakutokea tena.