@davitheempire Zanzibar ina Population ndogo ukilinganisha na Bars! Ukiruhusu wabara kwenda kuajiliwa visiwani inaleta shida kwenye soko la ajira kwa wenyeji wa visiwani!
@Hunterjay12345 Jamaa aliongeza ufundi malikia akashtuka maana vitu alivyovifanya Mume wake hakuwahi tangu wajuane! Ndo issue iliposanuka ila nasikia mwamba aliendelea kuburiza tangu hapi