@Mmarekany@Labella_Mafia95 Naam, km ukijua ni potential kias gani, semen zako zkitunzwa mwilin mwako zina nguvu ya kubadilisha maisha yako kwa ujumla
Kama manii zako znaweza tengeneza maisha ya kiumbe mwingne anaejitegemea basi hiko n kitu chenye nguvu ya uumbaji kilichopo ndan yak. Wew unazimwaga for fun
The rich use watches as an investment, not just as a way to beautify their bodies.
Next time you see a rich person wearing an expensive watch, know that they are saving their money there.
They are not that stupid to put all that money into a watch that only tells the time.
@Cobratate Cars I understand, but Watches, not really.
I have an apple watch. It tracks my heart rate and wakes me up gently when my body is ready.
Show me a million dollar watch that is more advanced than that.
Weka chuki pembeni, mnyonge mnyongeni ila haki yake Mpeni. Arsenal wanastahili pongezi toka kwa kila Shabiki na mpenzi wa Football. Suala la kumfunga Madrid home na away tena kumuondoa kwenye UEFA wakiwa ndani ya uwanja wao wa Santiago Bernabéu sio suala dogo. Respect Arsenal

Wengi wameona maajabu ya Arsenal ya kuifunga Madrid Magoli Matano (5) tena home and away na kuindoa kwenye UEFA, lakini wachache wametambua Ubora wa Mikel Arteta kwenye kuisuka hii timu. Huyu mwamba ni kocha kweli kweli. Tumpe heshima yake kwa kuretweet mpaka ujumbe huu umfikie.