Ili ufike mbulu, mnaweza pitia njia ya >makuyuni, babati,katesh, dongobesh.....au tukapitia
>makuyuni,mto wa mbu, karatu, kwaraa...
Ila mwisho wa siku tutafika wote mbulu
βοΈ Looking for a fair MMORPG again? Free-to-play MMORPG on PC.
- Fight other players
- Skill-driven PvP
- Defeat fierce enemies
- No pay-to-win
Wishlist Scars of Honor on Steam.
Tiketi za mchezo wa hatua ya makundi kati ya Azam FC na Wydad Casablanca zitatolewa bure kwa mashabiki, kufuatia mdhamini wa Azam FC kununua tiketi zote za uwanjani.
Azam FC itacheza mchezo wao wa pili wa Kombe la Shirikisho Afrika leo Novemba 28, 2025 katika Uwanja wa New Aman Complex, Zanzibar kuanzia saa 1 jioni.
Kwenye kujitafuta,
Jaribu vitu vingi ili kupata tobo lako:
- Soma ujuzi nje na shule
- Jifunze content creation
- Tafuta wa kukuambia ukweli
- Jifunze kuuza (chochote)
- Jifunze kuongea na watu
- Kuwa mzalishaji na sio mlaji tu
Then,
- Consistency x3
#SIKU100ZAUHURU
Kuna hii Word of mouth strategy (WOM), kama stretegy inayotumika na watu wa masoko, Unaweza kuicontrol Kwa Maana ya kuiiendesha kimfumo ama uncontrollable Kwa Maana ya yenyewe kujiendesha kupitia mfumo,,