Mhe. Lissu: Sasa huko tutafika. Mashahidi wengine nilikuwa nawambia waache kiherehere sasa unataka na wewe nikwambie hivyo halafu tutaendaje Ukonga baadae, sitaki kukwambia hivyo Afande wangu.
Watu wanacheka. Majaji pia wanacheka sana. ๐๐๐๐
Tuendelee kuchangia mkutano baraza kuu