My expectations ilikua kila mwaka thamani ya share ya NIO idouble
2019: $4
2020: $8
2021: $16
2022: $32
2023: $64
2024: $128
2025: $256
2026: $350-400
Ila 2020 haijaisha NIO ina thamani ya $13.50. Proper investment km Tesla ilikuacha
Unakumbuka ile thread nilioandika "Sirjeff Kijana Mwizi na Tapeli"? Sasa watu wengi sana waliniomba nitoe mwendelezo
Nami nikaona sio vibaya nikifanya hivyo, naamini kuna vitu vya kujifunza
MEZA HUA ZINA TABIA YA KUPINDUKA
It's Thread Time ๐
5. Nothing changes when I worry. The only thing that changes is my mood. Not the situation. So I have learnt to think more about a positive outcome than allowing an issue affect my emotions and how I relate with others at that point in time.