🚨 Raisi Wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Cameroon (FECAFOOT) Samuel Eto'o amemfuta kazi Mkurugenzi wa Masoko Mme Ngo Mbog Binyet Lilian kwa kwa tuhuma za matumizi mabaya ya pesa za shirikisho.
Amepewa masaa 72 kukabidhi funguo za ofisi.
Via (@Africansoccerup )
Hazikusaidia diplomasia za digitali
Asili ilihakikisha walosalia hawafiki mbali/
Waliendelea kungoja msaada kwa tumaini/
Mwisho wote walikufa sababu ya baridi kali/
@dizastavina
SHAHIDI 🔥🔥
Kuna mtu mmoja aliwahi kusema hivi:
1. Kamwe usichumbie mke wa rafiki yako, kwa maana unajiweka wazi kwenye kifo;
2. Kabla ya kufunga mlango wa kulala, angalia ikiwa haujasahau kitu nje;
3. Rafiki yako akipata riziki, uwe na furaha, na milango pia itafungua zamu yako;
"The Terminator"
Chezalive Imebahatika kupata Historia Kamili ya mwanasoka wa Norway aliyetangazwa kuwa mmoja wa wanasoka bora wachanga duniani [Golden Boy].
Leo nakupatia wasifu mchache wa Erling Haaland hii ni kwa ajili ya wapenzi ya soka.
Wacha tuanze.🍿