🇰🇪 | Samburu County, Kenya inapatikana jamii ya Wasamburu waishio kaskazini mwa nchi hiyo.
Makao makuu ya eneo hilo ni Maralal.
Utamaduni wa kipekee kutoka kwa Wasamburu huadhimisha sherehe ya kimila iitwayo Lmuget (Age-set) kila baada ya miaka 7.
Ni sherehe ya mpito kutoka hatua moja ya maisha kwenda nyingine katika kundi la vijana. Ndani ya sherehe hiyo kuna mfumo wa hatua za maisha wa Wasamburu ujulikanao kama Lmuget le Nkarna.
Ikiwa na maana ya kundi la vijana (Moran/warriors graduation) kutambulishwa rasmi kama kundi la Moran lenye hadhi na jukumu jipya katika jamii.
NB: Wanafanya kile ambacho wazee wenu hawakufanya😁
UVCCM: Hakuna utekaji Tanzania
KILIBA: CDM hawana maturity kwenye misiba ya wengine.
CHASO: Je, nyie UVCCM NA KILIBA WENU Mlishawahi kukemea mauaji ya mwanafunzi mwenzenu Temba?
UVCCM&KILIBA: 🤔
UVCCM: Hakuna utekaji Tanzania
KILIBA: CDM hawana maturity kwenye misiba ya wengine.
CHASO: Je, nyie UVCCM NA KILIBA WENU Mlishawahi kukemea mauaji ya mwanafunzi mwenzenu Temba?
UVCCM&KILIBA: 🤔
Mama akinipigia simu na kuniuliza kama nimekula, najua mazungumzo hayataishia hapo. Baada ya dakika mbili tutakuwa tumejadili ndugu, majirani na mipango ya wiki nzima. 😂
Hoi ngoma hakuna wa kuicheza, Mbeya uelekeo wa barabara ya CUOM.
CCM itaondoka tu madarakani ni suala la muda .
Leo vijana wanaanza kudai haki kesho wataanza kudeal na UVCCM
Hoi ngoma hakuna wa kuicheza, Mbeya uelekeo wa barabara ya CUOM.
CCM itaondoka tu madarakani ni suala la muda .
Leo vijana wanaanza kudai haki kesho wataanza kudeal na UVCCM