@tanpol Acheni ujinga kila mtu ana haki ya kuishi. Kikubwa tuamasishane sisi wananchi tujilinde. Nyie siyo walinzi tena kazi yenu mpya mnaitekeleza Kwa nguvu
@Jambotv_ Masilahi ya nchi uja baada ya masilahi ya utu! Ili tukuelewe tunataka utwambie mauaji lini yanakoma? Kama ujui na vyombo vyako la ulinz navyo havijui mtakuwa mmeshindwa kazi. Kama hamuwez kutulinda hamsitaili kuwa viongozi wetu.