@CrownMediaTZ@AdvMahinyila hiyo ni mihemko ya ujana sio siasa ya kujenga nchi, mikutano ya siasa ya sasa hasa ya CHADEMA naifananisha na mikutano ya injili ya kilokole hasa ya mwamposa.
@kaji_sijo Na nani aliona uingereza inavigezo vya kutngeneza fedha na kutoa maelekezo ya nani anaweza kujitengenezea fedha na nani bado hawezi kujitengenezea?
@PMacheyeki@millardayo Sikubaliani na sababu zote kasoro Moja tu, kujitemea kiuchumi. Lkn suala la katiba mpya, kulindwa na sheria si chama, jeshi la polisi na siasa, jwtz na kutimiza majukumu yao, hizo blaa blaa tu za kisiasa.
@HopeQuotes__ Mh kile ulichokisahau ni kwamba kwao kujenga nchi ni kuchukua Dola, hayo mengine wao hawayataki tufanye sisi wao wanataka dola. Nilijua hii siku itakuja tu.
@Japhee315669521@HopeQuotes__ Yupo wapi baba yako uliyempenda sana na akakupenda sana, mwisho utafika tu tukishindwa wanadam mwenyezi Mungu atafanya ishallah
@JoelyMsuya Punguza kuwa na akili finyu, mmegundua hamna ushawishi wa kutosha ndani mmekimbilia kwa mabwana zenu.Hii siyo mara ya kwanza wametujadili na hakuna walichoweza kutufanya sisi ni taifa huru. Narudia CHADEMA SIO SURUHISHO LA CHANGAMOTO ZA TANZANIA. Tujenge uchumi wetu.
@Mustaarabu@Sativa255 Na kutulia pia sio lazima, usinilazimishe kuhemka kama wewe, sijasema hakuna utekaji nimesema sio kila asieonekana ametekwa ila anaweza kuwa ametekwa. Kukubaliana ama kutokukubaliana na mimi ni haki yako kulingana na ufahamu wako, ila usinipangie kucoment au kutokoment.
@scuduscudu@Sativa255 Hapana, Sativa kaongelea Utekaji usimwekee maneno ambayo hajayasema. Tulia kaongelea tofauti ya kutekwa na kupotea, hilo la kupotezwa umeliketa wewe, sio sativa wala tulia waliolizungumza hapa.
@CIAsssi@emmanuel_s14591 @ChiefLumanyika Ukiacha ushabiki wa vyama vya siasa na wanasiasa utaziona siasa kwenye uhalisia wake. Shida nikwamba wewe ni shabiki wa chama flani na unawaamini wanasiasa flani so unaona kile wanachotaka uone.