@MdeePaschal @HarryGodfirst kabosa bora umjibu leo wanasema nini au anambie moja katia viunganishi vya mungano ni bunge lini alikaa supika wa binge mzenji au naibu? yani yaonesha mtoto kisiasa za tz.
@Liberatus80 sasa hili linawezekana,kuliko kutaka uchaguzi katika mungano,
kwanza daini nchi yenu kwa madai makubwa kabisa hapo ndipo wazungu wataingilia kati hi mutaungana na wapinzani wa zanzibar sasa lengo litafikiwa,
@davitheempire sasa hili linawezekana,kuliko kutaka uchaguzi katika mungano,
kwanza daini nchi yenu kwa madai makubwa kabisa hapo ndipo wazungu wataingilia kati hi mutaungana na wapinzani wa zanzibar sasa lengo litafikiwa,
@VitusNkuna sawa tunasubiri.
ila nijiwavyo Obama alisema moja katika kosa lake ambalo amefanya katika utawala wake nikumuondoa gadaffi Libya,
wanachi walibiya walishawishiwa na wakuu wa upinzani hatima yake,gesi wanakwenda nunua kwa foleni,sasa sijui nyie munataka kutufanyia lipi jipya??
@Twaha_Mwaipaya nyie ndomana hafiki malengo,
ivi hua munajisahau sana ndomana,siwaungagi mkono,
polepole leo muna muona mwema sana
wakati yeye alikua kimya wakati wa ulaji wake na watu wakitiwa katika viroba na alikia akisema ujinga sana kuhusu upinzani,
nyie🚮🚮
@JoyceHuru@swahilitimes washatoka huko,
au ulikua ujazaliwa?
jela wamekaa ya miaka 3 na wamekufa sana,
mpaka wakafikia mariziano
sema sasa hawa ccm mariziano hawayataki tena.
@kibaha_finest@dicksoni96 haya kakosea,
swali nakuliza,
madai ya wandamanaji wanadai nini walikua ???
1) kama tasisi tungeona logo ya tasisi na kioongozi angekuwepo mbele ya wandamanaji,
2 kama nichama tungeona bendera ya chama na kiongozi wa chama.
3kama wananchi basi hakuna kudai kitu serikalini bila..
@Baba_shimi@NellyNyamandege kuna ujumbe nilimpa moja katika wanaharakati wa chadema asubu tarehe 29
kilicho fata kaniblock,
nilimwabia kinachofata kuharibu mali na kuiba tu hamuwezi badili kitu mana hakuna kiongozi anae simamia madai yenu.