@hilaly_hassani@nyandajr10@shekhkuavu Oraimo inabonda kinoma nimechukua mwaka jana mpka leo kama nimezichukua jana shop sound +base super, charge super alafu bei affordable kabisa hawana baya..๐๐ผ
@bonifacejoseph_ Haya sio maoni ni kudhiaki watu wanaolipwa hiyo ela. Au bhasi tupe hiyo kazi yako yenye 900K tuanze kesho ๐.Mtu akisema 600K ndogo ujue umeme haujawahi kumkatikia niaminini! Hii tweet itakunyanyasa sana humu ndani siku ukihitaji msaada wowote humu wa kifedha. Bookmark this..