@EliabuDanford Kwa ninavyojua mimi, mabadiliko ya mwili hutokea kwa wote, mwanaume na mwanamke kadri anavyozidi kukua, ndio maana hata quality ya sperm hutegemea umri sawa sawa na uwezo wa mwanamke kushika mimba. Tukiweka bias za patriach system pembeni tutaona hilo
@DadaConso Da conso two truth can co exist, Mungu aliewapa scientist akili ya kuvumbua IVF, pengine ndie amewapa hela ya kupandikiza na stregth to endure the process. Plus IVF huwa ina fail pia
Infidelity is such an interesting concept, you’re cheating on someone you chose to be with…like no one forced you to be with this person…it was a conscious decision you made to be with this person and now you’re cheating on them.
@_edy03@VannyTemba@FeenJunior Kuwa na mtazamo tofauti sio pride, unatakiwa uelewe kuna watu wanaingia kweny mahusiano just to fill void and emptyness they have inside, matokeo yake huyo partner akishindwa kufikia matarajio ndio maana milio inakua mingi! Had unakosa mtu wa kuongea nae,inamaana unashida mahali!
@daudi10emmanuel Samahan naomba kuuliza, hio nature ya mwanaume ku cheat inatoka wapi wakati (kwa wakristo) tunaamini tumeumnwa kwa mfano wa Mungu, je unamaanisha Mungu anacheat pia?