Mwalimu Laurent Joseph Maarufu kama MNEGRO anashikiriwa na Polis kutokana na Ukosoaji wake kwa SERIKALI ,na Kumkosoa IGP
*CWT HAINA MSAADA KWA WALIMU, LABDA IPEWE JUKUMU LA KUSULUHISHA NDOA NA KUWATAFUTIA WACHUMBA WALIMU NCHINI.*
Tembea na *Gunini* hapa.
Leo ilikuwa siku ya kipekee sana, Nimeamka nikiwa imara sana kiafya. Ni siku ambayo nimemkumbuka *Mwl. Laurent Noti Joseph (Mnegro)* mwalimu kutoka shule ya Sekondari Ikungulyabashashi anayeshikiliwa na jeshi la polisi katika kituo cha polisi Bariadi.
Nikafunga safari kwenda kituo cha polisi kumsalimia, nikiwa njiani rafiki yangu mmoja akawaa amenipigia simu nikamjulisha nipo njiani naelekea kituo cha polisi kumsalimia Rafiki na mwl Laurent Noti Joseph (Mnegro) ambaye nimejulishwa yupo kituoni hapo.
Basi rafiki yangu akaniambia tukutane tukamuone.
Tumefika kituoni hapo tukaambiwa haturuhusiwi kuonana naye, ila kama ni chakula tunaruhusiwa kumpelekea ila sio kuonana naye.
Kutokana na ushamba wetu wa kutokujua sheria tukauuliza vipi kwa upande wa mwanasheria akipatikana? Tukiambiwa hata mwanasheria/wakili kuna taratibu zake.
So hakuna ndugu, jamaa au rafiki anaruhusiwa kuonana naye.
Mimi sio msomi wa sheria, japokuwa nina sifa za kwenda Bungeni kutunga sheria, kwa maana najua kusoma na kuandika pia na kuhesabu.
Japokuwa mimi sio mwanasheria na sijui taratibu za kiutumishi zikoje. Ila hofu yangu ni kwamba huyu Mwl. Akikaa mda mrefu bila kuhudhuria kazini anaweza kukosa sifa za kuwa mwalimu. Kitu ambacho kitayumbisha hali za watu wanaomtegemea. Tukumbuke Mnegro ni mme, baba na mtoto wa wazazi wake macho ya wengi yanamtazama. Japo kuwa sijui kinachomsibu kwa maana hata jeshi la polisi halijatoa taarifa kwa umma nini Mnegro kinamsibu.
Sijajua kama umma una haki ya kupata taarifa juu ya kilichosababisha kukamatwa kwake. Maana mimi sio mwanasheria.
Nimekuwa na ushuhuda mwingi sana kwa chama cha walimu nchini kutokujali shida na changamoto za walimu wao. Mjumbe wao wanayemkata hela kila mwisho wa mwezi ety akipata shida wamsaidie yamekuwa ni maneno na hayana uhalisia. Hata kwa huyu mwl. CWT wamekaa kimya kama hawajui chochote. Pia nina ushuda wa mwl mwingine alitapeliwa akapeleka malalamiko kwao hakuna kilichofanyika.
Tangu enzi na enzi vyama vya wafanyakazi vilikuwa na nguvu za kutetea haki za wafanyakazi na kufanya mabadiliko panapohitajika.
Kwa kutumia nafasi hii naziomba taasisi mbalimbali za kutetea haki, mawakili mbalimbali wajitolee kumsaidia mwl huyu huduma za kisheria.
Ieleweke sio Gunini anasema Mnegro hana hatia la hasha! Kama amefanya kosa ahukumiwa kwa haki kwa mujibu wa sheria na taratibu tulizojiwekea.
Asanteni sana!
*Gunini Masunga*
Mkulima wa pamba kutoka mtaa wa Itongo Bunamhala.
JUMBE ZINASOBABISHA AENDELEE KUSHIKIRIWA
@MariaSTsehai@HildaNewton21 @HecheeJohn @godbless_lema@lifeofmshaba@Sativa255
SERIKALI YATENGA TRILIONI MOJA KUJENGA KAMPASI 15 ZA VYUO VIKUU NCHI NZIMA
Serikali imetenga takribani Shilingi trilioni moja kwa ajili ya ujenzi wa kampasi 15 za vyuo vikuu katika mikoa mbalimbali nchini kupitia Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET). Mradi huu unalenga kupanua upatikanaji wa elimu ya juu, kuboresha ubora wa mafunzo, na kuandaa wataalamu watakaochochea maendeleo ya kiuchumi.
@kapeto98 Nilipokua chuo kikuu mwaka wa tatu somo la ujasiriamali mwalimu wangu aliuliza swali ambalo jibu lake linafanana na swali lako.aliuza je ukimchukua mmachinga na graduate ukawapa shilingi milioni 10 kila mmoja je ni nani ataanza kufungua biashara? Ukijibu sema kwa nini.
Happy Birthday Bro.
Unaongeza mwaka mwingine wa maisha ukiwa gerezani si kwa sababu uliisaliti nchi, bali kwa sababu ulikataa kuisaliti dhamiri yako. Katika Tanzania ambako ukweli umegeuzwa kosa na ukimya umepewa heshima, wewe ulichagua kusema. Na kwa kusema, ukaadhibiwa.
Gereza si kipimo cha hatia, bali mara nyingi ni ushahidi wa uoga wa watawala. Minyororo haiwezi kufunga wazo, na kuta haziwezi kuzima ukweli. Mwili wako unaweza kuwa nyuma ya vizuizi, lakini fikra zako ziko huru, na historia daima huwa upande wa wanaothubutu kupinga uongo.
Nafahamu moyo wako , umejengwa kwa subira, umeumizwa lakini haukuvunjika. Falsafa ya haki ni hii, mateso ya mtu mmoja yanaweza kuwa mbegu ya ukombozi wa wengi.
Heri ya siku ya kuzaliwa TAL.
@zumbekhan Labda umuambukize ukimwi ila huyu atagongwa sana km unavyowafanya watoto wa https://t.co/wSklE2hn0r kweli liungo hufanana na mdomo basi anacho.
@Oraibtz Umeandika menginlamini inaonekana hujui hinsi gani.RC inaendeshwa na uimara wake.
Unaposema aerikalibifanye veting kwa wateule wa papa je huko sio kuingilia dini?
@rio_chimu9663 @Royal_Tv_Tz Kumbuka hii sio nchi ya kidini.kama mahakama ya kadhi haitaingilia uhuru wa wengine ktk jamii ni haki yao wanaoihitaji.Pia km ni ya kidibi isitumie rasilimalinza nchi kama ilivyo mahakama ya kanisa pale kurasini.