Kwa usafiri wa raha,starehe,uhakika na salama kutoka Dodoma kwenda Mwanza na kutoka Mwanza Kwenda Dodoma,jawabu la safari yako ni moja tu ambalo ni @satcoexpress na safari zetu ni za kila siku kuanzia saa 12:00โฆ https://t.co/US2vjIVFjK
@luddo17@TBoundBuses Habari mpendwa,Ahsante kwa kuwasiliana nasi kupitia kurasa yetu ya twitter,yote uliyoelezea yametufikia mezani..karibu sana boss๐๐พ
Una safari ya kuelekea Bukoba kutokea makao makuu ya nchi hapa Dodoma? @satcoexpress tunafanya safari za kutoka Dodoma kwenda Bukoba na kutoka Bukoba kwenda Dodoma Kila siku saa 12 asubuhi (6:00am)
#SatcoExpress#LetsTravelinStyle
Kwa safari salama na starehe kutoka Makao makuu ya Nchi,Dodoma๐น๐ฟ kuelekea mji wa kahawa na ndizi nyingi Bukoba,Usafiri ni mmoja tu @satcoexpress kila siku saa 12 asubuhi (6:00am) tunafanikisha safari yako
Kwaโฆ https://t.co/sVcfd8IRNm