@JmcMfadhili@KumbushoDawson KAMA HAPO TU HUJAGUNDUA SASA CHUKULIA WATU WAMEKUJA KUKUNYAKUA ILE MPERA MPERA, UNADHANI UTAGUNDUA HILO, ZAIDI UTATAJA NAMBA ULIOIONA, BAADAE UKIHOJIWA NAMBA UTAKAYOTAJA UTAISEMA ILE ULIOIONA INGIIZWA KWENYE MFUMO WA USAJILI, INASOMA NI NAMBA YA IST, NA WW ULIONA NI CRUISER.
@JmcMfadhili@KumbushoDawson PLATE NUMBER HUWA ZINAFUNGWA NA SCREW KWENYE BODY YA GARI SIO KUBANWA NA FILE CLIP KAMA HIVYO, UJUE NI TEMPORARY TU BAADAE INATOLEWA INAWEKWA NYINGINE NA INAKUA SIO YA GARI.
‼️UKWELI KUHUSU BUYOBE, KWENYE SAKATA LA KUTEKWA MSHABAHA.‼️
Shuka na Thread hadi mwisho👇
Nakumbuka January 15, 2026 Buyobe alinitumia namba yake DM akasema nimchek WhatsApp kuna issue tuongee, nilimchek tukaongea.
Alinielezea jinsi alivotekwa na kikosi cha Mafwele, walimvotesa n.k pia alishukuru kwa jinsi tulivompazia sauti.
Katika maongezi hayo aliniambia kwamba pamoja na kwamba ameachiwa kwa dhamana bado watekaji wa Mafwele wanaendelea kumfuatilia hivyo maisha yake yapo hatarini , nilimwambia achukue tahadhari maana hao watu hawana masihara, akasema anafikiria kuondoka nchini, nikamwambia ni wazo zuri, akaniambia kama kuna Taasisi yoyote ambayo naijua inasaidia watu ambao wanachangamoto kama yake nimuunganishe nayo, nikamwambia hakuna Taasisi yoyote ambayo naijua so tukaishia hapo.
Baada ya siku kadhaa alinipigia simu akaniambia, kwamba yupo mahali nilipo anaomba tuonane, tusalmiane na kufahamiana maana hatujawai kuonana zaidi ya humu mitandaoni, nikamwambia kwasasa siwezi kuonana nae kwasababu za kiusalama, nikamwambia kukiwa shwari nitamtafuta mimi mwenyewe, tukaishia hapo.
Baada ya hapo alimpigia simu @Twaha_Mwaipaya akamuomba waonane, Twaha alinipigia simu kuniuliza kama namfahamu, nilimjibu Mwaipaya kwamba simfahamu zaidi ya kumuona online hivyo Mwaipaya na yeye akamkwepa badae akampigia simu @Sativa255 kumuomba waonane.
Baada ya issue ya Mshabaha kutekwa ndo nikajua kwamba kumbe wakati anawasiliana na mimi kuniambia habari za yeye kuondoka nchini kuna mtu mwingine ambae alimshirikisha huyo mtu ndo alimuunganisha na @lifeofmshaba ili amsaidie kutoka nchini kwasababu alisema vijana wa Mafwele walikuwa bado wanamuwinda.
Alifika Nairobi akapokelewa na @lifeofmshaba na kupelekwa mahali pa kuishi, muda wote alikuwa akidai kwamba anaumwa shingo, kichwa na miguu lakini pia alimwambia Mshabaha vitisho vya Mafwele kusema kwamba atamfira + kuonana na watekaji live ni vitu vilimuumiza sana kisaikolojia hivyo alitafutiwa Mwanasaikolojia lakin alipoambiwa aende Hospital kufanya checkup ili wajue Polisi wamemuumiza kwa kiwango gani ili apatiwe matibabu alikataa.
Muda wote wakati Buyobe yupo Nairobi. Mshabaha alikuwa anakwenda kwake kumjulia hali kutokana na madai ya changamoto yake ya afya alokuwa nayo.
Siku ya tatu, Buyobe alimpigia simu Mshabaha akamjulisha kwamba, nyumban kwake kuna mgeni ambae na yeye kalazimika kukimbia Tanzania kwasababu Mafwele anataka kumuua akaenda mbali zaidi akamdanganya kuwa mgeni huyo ni Mwanachama wa CHADEMA wakati si Mwanachama wa Chadema.
Mshabaha alifika mahali alipokuwa anaishi Buyobe akamkutana huyo mgeni ambae Buyobe alimtambulisha kuwa anaitwa Aidan Msuya ni rafiki ake wa miaka mingi.
Buyobe alimdanganya Mshabaha kwamba Msuya alikuwa Diwani wa Chadema wa Ubungo huku akijua fika kwamba Msuya hajawai kuwa Diwani.
Mshabaha alimuliza ndani ya CHADEMA anamfahamu nani Buyobe akasema @ExMayorUbungo na Hilda Newton japo kwasasa Msuya hana mahusiano mazuri na Bony.
Ili Mshabaha amuamini zaidi Msuya, Buyobe akamdanganya Mshabaha kwamba Msuya ni boyfriend wa Hilda Newton wakati huo anajua fika kwamba mimi na Msuya hatufahamiani kabisa.
Mshabaha alimwambia kama anamahusiano na Hilda mpigie simu, Msuya akasema hapana itamletea shida, maana amekuja hajajipanga Mafwele amefunga account zake zote za Bank na kama girlfriend wake, akijua yupo Nairobi na akashindwa kumuhudumia itakuwa aibu sana kwake, haya ni maswali walikuwa wanajibu Buyobe na Msuya kwa pamoja na kwasababu walijua wanasema uwongo, wakamuomba Mshabaha asiniambie chochote so Mshabaha akakausha.
Huo ndo ukawa mwanzo wa Mshabaha kumfahamu Msuya ikawa kila akienda kumuona Buyobe anamkuta Msuya kuna wakati walikuwa wanaenda kula pamoja, Mshabaha hakuwa na wasiwasi na Msuya kwasababu ya Utambulisho ambao alipewa na Buyobe, aliamini ni mtu Genuine.
Buyobe akatoa wazo wapate gari maana na hali yake ya kiafya na usalama ni muhimu wakawa na gari, mara wazo likawa linafanyiwa kazi na Msuya.
Part 2 inaendelea hapa 👇
In CSI point of view, kwa kuondoa kichwa, wameziba mianya ya pathologist kukadilia muda wa tangu kifo hadi kugundulika kwa maiti (Postmortem Index PMI)
Ni kwa sababu haitawezekana tena kufanya observation kwenye Ocular changes (mabadiliko ya macho tangu kifo). Vitu kama ocular opacity (ukungu wenye umpo la pembe tatu kama marehemu hakufunga macho), na pupillary/corneal reflexes, haviwezi kuwa established ku support PMI
Pia kwa maiti kuwa majini, PMI haiwezekani kuestablish Algo-mortis (change of corpse’s body temperature to ambient temperature)
But naona bado kuna chances kuestablish PMI kwa kuangalia rigor-mortis. Maiti inayoelea bado imekamaa hivyo bado protein ya kwenye misuli haijakuwa decomposed. Hali hii inasuggest kuwa kifo kimetokea chini ya masaa 36 (less than three days)
Pia kwa Livor-Mortis (Kusimama kwa mzunguko wa damu baada ya kifo, husababisha damu kuvilia sehemu ya chini aliyoegemea maiti) inaweza kubainika kama maiti iliuwawa sehemu kisha ikahamishwa na kutupwa mtoni, au ilichinjiwa mtoni. Baada ya masaa 12 tangu kifo, lazima sehemu yoyote ya maiti zilizoguswa zitaacha ile alama ya pressure iliyotumika wakati wa kuhamisha maiti.
If I would be investing this case, ningeanza sana kuziwakia nyendo za marehemu siku tatu nyumba kabla ya tukio.
Marafiki, ndugu na jamaa wangesaidia kidogo kumprofile marehemu.
Kwa maendeleo ya sasa ya tekinolojia, simu za marehemu na mitandao yake ya kijamii (kama alikuwa nayo), vyote vingeunda profile ya marehemu.
Profile ya marehemu ingeleta profile(s) ya wauaji wake equivocally
Ningejiuliza pia, Je marehemu alishawahi kuwa na maoni yoyote kinzani na yale yanayoendelea Gaza? Ni kwa sababu nchini Gaza ni bora umseme Mungu kuliko Ruth aliyegeuka mwamba wa chumvi.