@tumaini9608@Luvandalugano47@CavityDamas23@IWillLive_X Pesa za vocha kila siku wanakusanya kwa wanafunzi. Kwenye hilo mnashangaza na kuwa vioja wewe pamoja na walimu, mtoto wa kiswahili akinyowa panki amefanya kosa anakuwa hana nidhamu ila wa kiarabu yuko na nidhamu. Tatizo la uswahili na uongozi wa haki ni kipengele sana
@HsonOf@Eric__Bernard Kwenye swala la kwetu Bara kutibiwa Bure sio kweli, swala hili lipo Zanzibar, mambo mengi kule ya huduma ya afya huulizwi malipo. Ila Bara jana tu kuna mwanangu kaka yake alianguka ghafla na kupelekwa hospital chakushangaza hakuna hduma aliyopewa ya matbabu mpaka walipofka ndugu
@Luvandalugano47@CavityDamas23@IWillLive_X Mwalimu alishindwa nini kumpigia simu mzazi wake au kumuandikia barua kuwa mtoto wake asije shule mpaka amnyoe nywele zake? Akaamuwa tu kujichukulia maamuzi yake ya kumdhalilusha mtoto
@iamNehemia@fbuyobe Msaada wa kweli hautumiki kumfanya mtu awe mtumwa wa mawazo yako. Kama ukimsaidia mtu halafu unataka asikukosoe milele, basi huo msaada una masharti yaliyofichwa. Ikiwa misaada yenu munaitumia kama nguvu ya kumziba mtu mdomo basi ni bora muitoe baa kwa walevi kule hakuna baya.
@Babuu53984290@BoraKafa@godbless_lema Na unafikiri bila vyeo wanaweza kurudi? Ni kweli siasa sio uwadui ila mbinu hizi wanazozitumia ni mbinu za hovyo ambazo ni mbinu za kizamani. Wakumbuke aina ya wafuasi wa sasa sio wale wa zama zile kama msaliti akirudi chamani hufuarahia bali wa sasa huchukia na kupoteza Imani.
@henryimani_ Kama aniridhika na maisha ya nje ya Twitter na yanamtosheleza, kwa nini biashara na kuomba msaada hakufanyia huko huko? Ukweli ni kwamba watu wengi wanabeza mitandao huku wakijizima data kuwa wananufaika nayo.
@vistovic17 Kiarabu ni lugha ya asili ya Qurโan tunaisoma kwa Kiarabu kwa sababu hiyo ndiyo lugha ya Qurโan, tafsiri za Kiswahili na lugha nyinginezo zipo tu kwa ajili ya kuelewa maana
@zed_ogtz@EsirEid Na hapo ndio mwisho wa CCM umefika, na ndilo wasilolitaka wao, ndiomana wanaamuwa kufanya vyovyote vile ilimradi waendelee kubaki madarkani.
@nyamseri@MiriamMkanaka Na bila uongozi hawawezi kurudi, sababu wanajuwa walipotoka wamekosa nini wanapokwenda wanatarajia kupata nini. Kiukweli kwenye siasa kuna ukhanithi mwingi mnoo, ushindi upo kwa wananchi wenyewe siku watakapotambuwa wengi wa wanasiasa ni miyeyusho sio wakuwaamini.
@Mwinshehe07@YerickoNyerereT Vyama Vya siasa vimejaa unafiki, hao nao wakitaka kurudi watarudi na mnayoyaita mapambano yataendelea kupambanwa. Ila kwa unafikii uliopo ndani ya mioyo ya wanasiasa kushinda mapambano hayo kazi ipo