Wana jamii ya hip hop kusuport kazi ya msanii wako pendwa ni kununua kazi zake anazowasilisha tuoneshe support ya kila aina kwa @dizastavina kwani walioshikilia huu mchezo wanamchukulia poa sana baada ya @IamJongwe__ crown tunamvisha dizasta #mbeyacity
Budaa nimekubali sana ulichokifanya kwenye Maria hapo nimeelewa kwanini imamu Abasi alitumia dk 30 kwenye interview yake pale @simulizinasauti kuzungumzia future yako na @barcitybaby kimuziki kua anawaona mbali saana hata mimi naungana na imamu kwenye hili 🔥🔥🔥
Hatia IV is out
Mdundo: https://t.co/TkfCvW2mKg
Audiomack: https://t.co/A3WGEE3BQ3
Youtube: https://t.co/OYQHDRmGAV
Soundcloud: https://t.co/kvRqyyO2eI
Lyrics: https://t.co/sz5NF4SBvH
Are you ready to 'Commit to Quit' tobacco❓
Today marks the start of WHO's year-long global campaign for #WorldNoTobaccoDay 2021, helping 1⃣0⃣0⃣ million people quit tobacco.
More in detail 👉https://t.co/6JOKJgbMtA #NoTobacco
NAMSIKILIZA SISTER P - DJ 🎵
Sister P alimdis @MwanaFA katika verse ya pili kwenye nyimbo ya Dj kiasi kwamba mpka leo mwanafalsafa hajarudisha diss lines kwa dada Happy baada ya kumpitia kwenye ingekuwa vipi na @jaymoefamous@MoruoKing@SharoGangstar@JabirSaleh