@zed_officially Mimi nilienda ukonga 2010 kufanya research ya residivist nilikutana na wafungwa waliofungwa na wamesoma mpaka masters wakiwa Gerezani na Moja wao anaitwa Gombela na alitunukiwa degree na Rais Kikwete mwingne nimesahau jina ila 2019 alikuwa anafundisha Udsm
@hancymachemba@mwigulunchemba1 Hili @hancymachemba nakuunga mkono yaani mtu unaidai taasisi hadi million 100 mpaka 200 kwa miaka 15 yaani tokea 2015 hadi leo na haujalipwa. Tena ulisupply pembejeo za kilimo! Hivi huyu supplier anaendeleaje kwa mtindo huu!
@Twaha_Mwaipaya Nakumbuka kauli yake ya chapati, ๐๐๐๐Kama binadamu tungekuwa tunajua siku yetu ya kufa asinge tunanga kwa ajili ya uchaguzi siku 3 kabla.....
Katika tafiti zangu, nimegundua kuwa kuna fuel stations nyingi sana zinafunguliwa Nchi! Najiuliza why? Yaani kutoka Mbande hadi mbagala 20 station, Mbagala mpaka Kwa Azizi Ally 19! Na bado maeneo yana nunuliwa kibao ya kuweka... au kuna kitu wanafanya zaidi ya hicho?
@millardayo Yaani mtoto anasomeshwaa n likizo Marekani! ๐๐๐ kudadadeki...unakujaa kujiliza ? Kuna mtoto aliwahi kataa Mamaa ? Tuna mengi ya kufanya. Mnataka kuibua mambo ya hovyo kabisa. Aacheni UJINGAAA