@Nindi_Jr Tears of the sun
Breaking bad
Game of thrones
Stranger things
Love don't cost a thing
I still believe
Forever my love
A star is born
Banshee
Friday (one)
24 hours
@George_Ambangil Players atuna aisee japo lindelof namuona game ya pili hii anajikaza ivo ivo kibishi bishi. Ila uyo lindelof na mwenzake ericksen ni aibu aisee mda mwingine unabaki unacheka tuu maana ni aibu kuanzia physicality yake sometimes na running duuh aviendani kabisaa na EPL๐
@HusseinM28610@FKihamu PSG awafatiliwi sana kutokana na league yao mzee baba, af me sijasema pedri ajui naombea wakutane kwanza tuone iyo battle ya mamido kati apo. Ila kwa PSG tokea niwe namuonaga vitinha anachezaga vzuri sana, asaivi kapata kocha mzuri zaidi mwenye soka la pasi & possession ndo balaa
@JMariotz@George_Ambangil Amesemea kwenye administration yao kumbe wao wamewakuta hao wachezaji aliowataja ko ni vitu inabidi wavirithi tuu. Na amewataja hao wachezaji coz mtu aliyemuhoji alitaka kujua hasara kwa timu kupitia squad, jiulize casemiro pesa anayovuta na anavyocheza kwa sasa ni sawa??.
@Rydx_017@athanas_pius@babalao__@DullahTheking2@MissChelsea1221@Balyx_ Shida ya timu zetu Simba na yanga tunaweka sana hisia sehemu za sheria, hata viongozi wa bodi ya ligi na TFF ndo hivyo hivyo pia coz kuna mashabiki wa Simba na yanga pia. Soka letu alitofanikiwa hisia zikiwa mbele kuliko kuelewa kanuni na sheria za mpira. Mzee Alex yupo sahihi.
@daudi10emmanuel Brother comparison gani hii, kila mtu me naona ana role yake apo kwenye team. Tena ivo ndo vzuri coz Pedri anakichafua vzuri dimbani na yamal anacheza vzuri kwenye position yake. Sio fan wa Barcelona but yamal tokea nimjue naona bado anakichafua tuu labda setbacks za injuries bac
@Ms_Rashfody @KimKardashian Maybe kwenye mgongo apo awe anapiga mazoezi sana inawezekana, but the way anaonekana uyo Kim amejipasua sana aisee sehem izo.
@ReganTesla_ Gb moja ya week buku mbili na mia af haikai ata week kmmke, wasenge wanazingua hawa
Yaani ni kwa sababu namba unakuta unaitumia iyo iyo Whatsapp auna namna, ila hawa yas sijui wanazingua.
@daudi10emmanuel@George_Ambangil@JMariotz Jamaa haupo serious wew, mchezaji professional kbsa kwa sasa aanze tuu kutaka challenge mpya tena anaongea kocha ndo kaja ata miezi 6 ajafikisha na hata ku-perform uwanjani uongo.
Ni sahihi acha asepe tuu kwanza, mchukueni Barcelona c mmemtaka๐