@ndugumdogo@Fitness_faith_@EsirEid Uzuri uislamu haujitetei kwa porojo na ngonjera ndo maana nimekwambia Hakuna kwenye Quran Wala hadithi kumesemwa waislam waliabudu jiwe.Kama Aya au Hadith unasema waislam waabud jiwe leta hapa
@ndugumdogo@Fitness_faith_@EsirEid icho kitu hakiabudiwi ila uelekeo kwa watu wafanyapo Ibadan.Hakuna kwenye Quran Wala hadithi ambapo pamesemwa iyo kitu haibudiwe