@RamadhaanMathey@GilbertPaul095 Hapana kiemba ana uzoefu zaidi ya kucheza amesomea kabisa coaching filed ameeenda USA, ni muongoni mwa makocha , meneja wa timu ya taifa wakati wa kufuzu Afacon ya Morocco.
"Let the young man in his desperation go out and hunt. If he kills the elephant, his poverty ends. If the elephant kills him, his poverty ends"
#NdotoTunazo#TatizoUsingizi
@millardayo Nashauri kwamba , kuomba msaada wa kiteknolojia kwa Nchi rafiki /jirani sio dhambi ili tuweze kuokoa maisha ya wenzetu , hongera pia jeshi letu kwa kazi kubwa mnayofanya
@Captainqevo Somo ! Somo!
Changamoto ni nyingi, utawaza familia watoto ndugu na jamaa.
Muhimu usiache kujipenda kwa Mwanaume usipojijali hakuna ataejali,
Upo rafu suruali imechoka au kiatu kimeisha.
Take care of yourself Brother.
“Mwanaume tajiri anaweza kutoka na mwanamke asiye na kitu kabisa bila kumkumbusha kuhusu hali yake ya kiuchumi hata kwa miaka 10.
Lakini ni nadra kuona mwanamke tajiri akiitikia hata salamu kutoka kwa mwanaume asiye na pesa.
- 50 Cent
“Nilipoteza zaidi ya $38-bilioni pesa taslimu na 35% ya Amazon kwa mke wangu wa zamani, MacKenzie.
Nilikuwa na net worth ya $76-bilioni wakati huo.
Sitaweza kamwe kufanya makosa ya kuoa tena kwenye maisha yangu.”
~ Jeff Bezos
"Innovation doesn’t happen in laboratories; it’s discovered in the field."
Maneno ya "Robert Chesebrough" ambaye ndiye mgunduzi wa Mafuta ya kupaka ya Veseline.
#NeverStopDreaming
"Si dunia ya kila mtu imezungukwa na kutaka pesa Kwa mume wangu...wewe ni zaidi ya mume (mapenzi)." - Melanie Kamayou , mke wa Andre Onana kipa wa @ManUtd#NeverStopDreming#NdotoTunazo
Ni wanawake wangapi umewaona wakifanya wanaume kuwa great?
Wanawake wengi wanaamini kuwa mwanaume asiye na pesa hana haki ya kuwa na hamu ya penzi.
Nitawapata watoto wangu, nitawalea na kuendelea na maisha yangu.”— 50 Cent
“One cannot be prepared for something while secretly believing it will not happen.”
"Mtu hawezi kuwa tayari kwa jambo fulani huku akiamini kwa siri kuwa halitatokea."
#NeverStopDreaming#AminiKwamba