@jemedarisaid Kukaidi mamlaka ni kosa kubwa sana ila adhabu zake zimekaa kinyonge sana baada ya kuwekwa mil 5 kwanza hela kidogo. Adhabu ingekuwa moja tuh kushushwa daraja basi ili timu ziwe na heshima kwa mamlaka
@azamtvtz Mbona Azam wanacheza kila mara jamani hawapumzishwiii kabisaa, toka wamecheza na Simba wao tayarii wamecheza michezo miwili wakati Simba wamecheza mmoja na watacheza tena mpaka tar8