Konda Hapa Nilipo Nina Mia Tatu (300) Na ninatakiwa nifike town kutafuta ela💸,
Tunafanyaje Unaniongeza mia (100) nipande gari au unanibeba kwa mia tatu (300)
@rollymsouth
EBU NAOMBA UJIBU KAMA KONDA AMBEA AMETOKA KULIPA FAINI KISA ABILIA KAPITIA DIRISHANI.
Uwezi Jua Kwa Nini Shangazi Anakuchukia Wenda Anaona Wewe Sio Damu Yao Kabisa Wenda Kaka Yake Alisingiziwa Mimba,Kuna Wakati Wahenga Walisema Kwamba Hakuna Shangazi Ambae Hana Vyakushikashika Katika Koo Zote Balani Na Wakaiondoa Imani Ndani Ya Mioyo Ya Mawifi Wote Balani Africa.
INASEMEKANA YA KUWA CHUPA YA BEER INA NAMNA YA USHIKAJI WAKE SIO UNASHIKA CHUPA UTAZANI UMEPEWA BURE. #beertamu🍺😋 @ Bariadi City, Simiyu, Tanzania https://t.co/WpBfYaRGkh
Wenda Alija Kuvutia Hata Moja Katika Yale Mema Yangu 10, Niliyo Kutendea Ila Sawa Wenda Yataja Kukuvutia Siku Nikiwa Nimefumba Macho Kipindi Ambacho Sitoweza Kunena Wala Kusikia Utakavyo Nisifia Kwa Marafiki Zako Na Kuwaonyesha Picha Zangu📩.
SISI ATUISHI CHAMWINO ATUISHI POST ATUISHI MASAKI ATUISHI LUGARO WALA ATUISHI MNAPO ISHI, SISI TUNAISHI MWANZA UKU NGANZA KABISA AMBAKO ATUNA MAJI KILA IITWAPO SAA 1 ASUBUI MTUTIZAME KUWA KARIBU NA ZIWA ISIWE CHANZO CHA SISI KUKOSA MAJI YA BOMBA
#KWA_NIABA_YA_WATU_WANG @DrMabula