Mawakili wanaomwakilisha Freeman Mbowe na wenzake kwenye kesi ya ugaidi na kuhujumu uchumi, wakiingia chumba maalumu cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kwa ajili ya kusikiliza kesi hiyo kwa njia ya mtandao (Video Conference) leo kufuatia watuhumiwa kutoletwa.
Badaa ya watu wa ccm kusikia kuwa na yeye @makonda_paul Ana huruma ya mende chooni yani wapiga robali wakawa na huruma. Kama sio police ccm hawa mabwege wa ccm wako chini siasa hawajui. Ni sawa wamezikwa wakiwa hai by @seph_twaha