Kuna vitu huwa vinapikwa na Taasisi zetu za Umma vikubwa mnoo ni vile tu huwa havipati a well deserved recognition. Nitakupa mifano kadhaa;
Recently, Benki Kuu ya Tanzania na Mamlaka ya Masoko na Mitaji ya Dhamana (Capital Markets and Securities Authority ) CMCA walitoa idhini kwa KCB Bank Tanzania ku issue bonds/hati fungani za kiislamu ziliitwa SUKUK MAPATO Bonds (https://t.co/lH5AeetlND) na kabla ya yote, global market vakue ya Sukuk as per recent data ni over 1.8 Trillion USD na zipo open for subscription tangu 15th April 2026 hadi 14th May 2026 means ni 3 years tiered. Sasa basi.
Hizi bonds unlike zile Bonds zingine kama za Serikali na zile commercial focused bonds zenyewe huwa na utaratibu wa lazima kwamba ni lazima zifuate SHARIA 100% na zimekuepo tangu Karne ya 7 kwenye miji kama Damascus ingiwa zile SUKIK katika muundo wa kisasa zilianza rasmi 1990 baada ya approval ya OIC ya mwaka 1988. Ref. (Visser, Hans. 2009. Islamic finance: Principles and practice. Cheltenham, UK and Northampton MA, Edward Elgar. p.63)
Na kwa mfano, hizi za KCB zenyewe zililenga ku mobilze 30 Billion kwanza kwamba ikawekwa uataratibu wa mtu kuanzia TZS 500,000 awe na access ya kununua hizi hati fungani za SUKIK na anapata gawio la SUKIK kwa 11% kwa mwaka paid katika kila robo Mwaka na ziko TAX FREE kama global practice ya SUKIK All over the world muhimu tu hata ukipata gawio lako la 11% ya usifanyie vitu haram! Ni uwekezaji unaokupa ulazima wa kuishi ndani ya SHARIA! Practically SIO lazima BUT ni dhambi mbele ya Mola wako!
Sasa ukitazama katika namna ya kisera ni kwamba;
1. Tumekua sana na kila siku kunae namna tunapiga hatua with our fiscal policies maana mbali na KCB ziko Benki zingine za Biashara Tanzania nazo zime issue SUKUK which means we have set a stepping policy tone ku capitalize kwenye SUKUK Economy.
2. Kitengo cha kuona Market Value ya 1.8 Trillion as an opportunity na kuruhusu our commercial banks ku issue hizi bonds pia speaks how determined we are kama Nchi.
Tunapiga hatua vema sana na MUNGU atuongoze.
@VungaEl74 Shida hujui cease fire hua zinakuja na makubaliano madogomadogo kama hayo,mbona husemi kama Iran kapokea pesa zake zilizokua zimezuiliwa miaka mingi nyuma