@Adv_innocent Kuna mwana alichafua sana ukuta karibia kila darasa alikua anajiita Machapati…Mungu si athumani akachaguliwa shule ile ile kurudi form Five alivyofika kitu cha kwanza aliambiwa anunue rangi kufuta ukuta
@chapo255 Aisee huu uzi kumbe wa 2024 sahv si angesema B5…lakini ni sahihi kutaka 1B maana ni rahisi sana Bigi kuhamasisha wateja 10,000 kununua simu za aina hiyo kitu ambacho kinarudisha hiyo hela ndani ya muda mfupi
@BlessdGrooveKid Umesahau EMPIRE ya EFM pamoja na Dozen Daah Huyu mwana anajua sana Halafu yupo unique sana bila kusahau kile kipindi cha liveband show cha kuitwa HOMA…mwana anajua sana
@anon_codex@NMBTanzania Wametisha mno, yani hata ukiwa na visent unatamani uviweke ili uwe unaangalia salio kila Mara…ila Mimi nimeshindwa kujua namna ya kupata risiti baada ya kufanya muamala msaada wenu @NMBTanzania