@liquidatorXz@francismtey Ozone layer ni kati ya km 15 hadi 35 kusema kuwa hakuna mtu amewahi cross mnahitaji kujielimisha zaidi
Hapo mtakuwa mnamaanisha kuwa Starlink, ISS pamoja satellite zingine ni zilizopo space ni uongo achana na zile zilizopo GEO
@derc2323 Pamoja na kukiri kuwa wakati wenzako wanasoma wewe ulikuwa unaangalia maua pia mpa sasa hutaki kujielimisha
Ingia yuotube uangalie moment nzima ya splashdown
MWANAUME SOMA HAPA KWANZA
1. Starehe ya dakika 3 isikuharibie mfumo wa maisha yako mazima
> acha kufanya mapenzi bila kondomu na watu hamjapima bado
> acha kuwagonga wake za watu
> acha kubaka watoto
2. Achana kabisa michezo ya kufilana
>Usimfanye mtu awe mwanaume au mwanamke kinyume na maumbile
>Usikubali kuingiliwa nyuma
3. Punguza kujipiga nyeto na kuangalia video za ngono
Hapa wengi najua mnapenda sana ila hii kitu si nzuri kwa afya ya akili yako na dudu yako
4. Kama hujajipata bado punguza starehe zisizo za lazima ....akili yako ifocus kutengeneza pesa maendeleo tu ...
5. Dont let mwanamke akusumbue akili
Hapa namaanisha kumpenda sana kisi kwamba anajua halafu anakuwa juu yako chochote anachofanya makusudi huna cha kumfanya unaishia kulia lia hapo unabembeleza 😂 kumamake be a man bana
6. Mwanaume hupaswi kuwa na wivu au chuki kwa mwanaume mwenzio anayefanya vizuri
Trust me hutakaa uendelee maisha yako yote chuki ikijaa moyoni inakudestroy unaharibu kila kitu chako bila kujua baraka zinapotea
7. Usije kumdhalilisha mtu kupitia utani ili uchekeshe watu wakati mwenzio anaumia
Hii ipo sana hasa kwa washkaji anjifanya nakutania kumbe ndo anatoa madhaifu yako kwa watu
8. Tabia za ubahili kutokumuhudumia mke wako ndani acha bana ....tunza familia yako
9. Kama huna kazi au umefukuzwa kazi my dia usije ukakaa unalala ndani tu huku mkeo anapambana ....kama huamini fanya hivo uone
Ni bora utoke ukazunguke tu upige vibarua ukakae kwa washkaji jioni urudi lakini sio kulala ndani unasubir uletewe ...mwanamke hana uvumilivu wa hivo ni wachache sana ukibahatika
10. Watoto wako ndio kila kitu chako waweke karibu aiseee kupita maelezo
Bro to Bro
“Usiende kwenye Meza ya Negotiation Ukiwa na Njaa”
“Familia Kwanza”
“Jichanganye”
“Take Calculated Risks”
“Kwa ile Mamma enyewe USIZINGUE”
“Usiwe mnyonge kudai haki yako”
“Watu ni wale wale”
“Heshimu Pesa ya Mtu, hata kama ni ndogo”
“Achana kabisa na wake za watu”
“Wakusoma USIWAKARIBIE”
Itaendelea.
Governments in Africa must know these 3 rules.
1. The most educated and elite segment of their population is under 35
2. Despite their potential, they receive the smallest share of their national cake
3. They harbor grievances and may one day rebel and be ungovernable.
Tembea tembea uone mademu wazuri na uone watu wenye hela,kuna wakati hautembei ndio maana unahisi huyo demu anaekuumiza kichwa ndio kila kitu au maisha uliyonayo ndio umemaliza.
Tuseme tu ukweli kama isingekuwa Sirjeff, kuna possibility kubwa sana, hadi siku unaingia kaburini usingejua tafsiri ya neno 'Kesho kutwa' kwa Kingereza ni 'overmorrow'. Na tafsiri ya neno 'juzi' kwa Kingereza ni 'ereyesterday'.
@Iam_Malunguja@iammpemba Inawezekana dogo hajatoka lakini pia hata hao presenters wenyewe Bado hawajatoka
Siyo lazima kila mtu asome na siyo lazima kila swali ajibu
Formal education ni kupoteza mda muhimu ni skills tu
Huyo dogo alipo anaweza kumzidi kipato mtu mwenye masters
@JamesMagsir Dira ni mwongozo wa kila kitakachofanyika mpaka 2050 gharama ya kutekeleza ni budget ya miaka yote 25 ijayo. So kwa vyovyote vile huwezi Kuta ikatokea ulivyosema
Leo inazinduliwa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Shabaha ya Dira ni kuwa na Pato la Taifa la USD 1 trillion ambapo pato la mtu mmoja liwe wastani wa USD 7,000 kwa mwaka kutoka USD 1,200 za sasa.
Hii maana yake ni kuwa Uchumi wetu (GDP) inapaswa kukua mara 13. Inawezekana, lakini katika Taifa lililo na mshikamano, lisilo na ubaguzi na lenye demokrasia. Msingi wa hayo ni HAKI.
Kazi kubwa inapaswa kufanywa kwa NIDHAMU ya hali ya juu sana kufikia shabaha hiyo. Taifa lenye jamii ya uchawa uchawa haiwezi kuwa na nidhamu ya kufikia malengo tajwa.
THREAD