@IiMaganga @YouthPresidentz @erastolashau @Iamsospete1@kicheche_jr@manase_lucas @broke_jk @CRACKERLAIZO @ima1243 Hapo ni Oldonyo Esambu nyia ya kwenda namanga...huo mlima ndo unapatikana hapo
@SuluhuSamia Mazaa..!!!achana na hao wachina wewe fungua kampun ya Tanzaniteone mining Ltd,tufanye kazi. Wafanyakaz zaid ya 1000 hawana kaz huku Arusha moshi na manyara
@kigogo2014 Ahhahahh๐๐๐๐๐eti kalewa mbege embu muache mama yetu apambanie uwekezaji kwanza.....watu hatuna kaz ya kueleweka mwaka wa tano huu