Kuna watu wazuri sana ndani ya wavuta bangi, Walevi, wahuni na watu ambao jamii inawaona ni watu wabaya. Na kuna washenzi wengi misikitini na makanisani wakisali , kulia na kuabudu masaa 24. IJUE TOFAUTI KATI YA DINI NA MUNGU.🤝 #freeyourmind
Tunavichukulia poa vitu vingi, siku moja vitachukuliwa vyote, na hapo ndo unagundua vilikua na umuhimu kiasi gani. Hauukumbuki uwepo wa maji mpaka kisima kinapokauka, hautambui ni nini umekipata mpaka utakapokipoteza. #freeyourmind
Ukitaka kuyaelewa maisha chukua muda wako kutembelea sehem tatu HOSPITAL,MAGEREZA na MAKABURINI. Hospital utagundua kwamba hakuna kitu kizur kama kuwa na afya njema
Magereza utaona inavopendeza ukiwa na uhuru
Makaburini utagundua kwamba uhai nimuhim kuliko kitu chochote.