@Mwinshehe07 Nillish kwa mshahara kwa miaka kadhaa nilirudi nyumbani Kila mkono umebebà furushi la zawadi, niwàtoa wàna chochote kitu nilikuwa kweñye çomfort zone
Ila sikufànya maendeleo binafsi siku nilipoamua kuishi njie ya mshahara ñiliona Kila rangi ilà añgalau maisha yamebaadilika