@B2bMaestro@255William Kweli kabisa kaka๐๐ฝna Hapo kwa Mpole ndo sahihi kabisa, mpole hadi anakuwa top scorer Lyanga alikuwa na mchango sana๐๐ฝ๐๐ฝ
@Chiboboy4@Mwakyagi_ Ndugu mwajiri anadharau sana ๐ค
Ameshindwa kuheshimu level ya elimu(Degree)
Ameshindwa kuheshimu taaluma
Ameshindwa kuheshimu G P A
Ameshindwa kuheshimu CPA
Mbaya zaid na yeye kashindwa kujiheshimu ๐๐๐
@LukingaKhadija@EsirEid Wasomi wapo japo sio wengi kihivyo pia wananchi wenyewe hawaamini kwa wasomi , wanaamini kwa watu kama hao ๐na wanamkubari kinoma ๐
Ndo maana mi kila siku huwa nasema โkura sio kigezo sahihi cha kumpata mshindiโ
Pia iyo hospital yenyewe ya Ngerengere ๐dawa ni panadol tu ๐