@YerickoNyerereT Ewaa sisi wanachama wa chauma tunapenda uwe unakizungumzia chama chetu daily haiwezekani kila siku unaizungumizia CDM yaani mwez mzima cdm cdm mpk unakisahau chama chetu...Amna Amna uwe unakisema ccm maana sisi c wapinzani kuliko kuweka nguvu nyingi kukisema cdm wakt pia n wapizn
@moodewji Mo kwema?....Nimesoma bachelor of science in Mathematics....maswala ya namba nipo vzr sana...naweza ongeza kitu kwenye makampuni yako....nipo kitaa Sina mishe....ukinipa kazi kwenye any of ur company itapendeza sana...🫡