@abdullkidevu10@PolycarpMDM Israel ni taifa liliitwa kaanan baada ta kaanan kumkosea mungu akaamua taifa lile ampe ahad Abraham kwamb kizaz chake kitakaa kweny ile nchi, Ibrahim akamza isaka,iasak akamza yakobo alieitwa Israel baadae watoto 12 wa yakobo ndo makabil 12 ya Israel
@officielsalome yap firstly mungu aliumba mtu kwa mfano wake kwa kutumia udongo then akaja akaumba kiumbee kingne kutoka kweny mbavu ya yule alieumbwa,huu ni udhibitisho tosh kuwa wanaume wanaish na viumbe ambavyo wamefanan morphological lakn kiuhalisia hawafanan
@Eric__Bernard Israel ya kweny biblia ilikaribiana na misri,mto frati,uru wa wakalidayo(iraq), waajemi(iran) na kuna miji ambayo ipo kweny biblia mpaka kweny hii Israel ipo kama yerusalem,nazareth,bethlehem je ni kivip hili sio taifa lile lililotajwa. nlichogundua watu mnaanzia story kati
@FactsOnRwanda we do not need democracy we need this government which has vision as rwandan we don't need those human rights activist course we like what is done in rwanda
@EliabuDanford nashangaa sana yan wanachochea kitu hawawez kuzima alaf baadae wanaanz kuomba huruma kwa mataifa ya nje ooh justice for congo yan akili kama hizi ndo hazifai kuwepo africa
@BERNARDKOMBA@MariaSTsehai@SuluhuSamia banyamulenge wanaporwa haki yao ya kuishi na serikali ya Kinshasa pamoja na fdrl hivo bas na wao wanapamban kusurvive kweny ardhi yao
@BERNARDKOMBA@MariaSTsehai@SuluhuSamia fuatilia alaf uje uongee. yan leo hii tz ianze kuwanyima haki wa masai alaf iwambie wahame waende kenya unahisi watakubal ww fuatilia speech ya nyerere kuhusu hilo kabila la wanyamulenge ndo uje uongee. alaf fuatilia vzur siasa za ukanda wa mazรฌwa makuu. fuatilia fdrl ni nn
@Dmpjrzip25 @AlexSamoja kasome psychology kuna jamaa anaitwa Sigmund Freud aliisema fresh hii kweny psycho sexual development mtoto akifika kweny phallic stage