president @NGOROGROUP ||content creator||autoshops || financial adviser|| real estates||focus on building wealth and becoming the better version of myself!!!
One day nitakuwa na company yangu kubwa sana ambayo itazalisha ajira kwa vijana zaidi ya 1,000🙏
Ewe mwenyezi mungu muumba wa mbingu na ardhi naomba unisaidi🙏🤲
Umaskini haufurahishi, unatesa, unadhalilisha na unaumiza sana unamfanya mtu adharauliwe, achukiwe na wakati mwingine hata kutengwa
......#maishakipengele
Mwimbaji Mkongwe wa Uganda Jose Chameleone amesema anaamini maombi ya Watanzania waliokuwa wakimuombea wakati alipoumwa yamesaidia kupona kwake hivyo anawashukuru sana kwa kumuombea na kumpa faraja katika kipindi hiko kigumu.
Jose ameyasema hayo baada ya kuwasili Jijini Dar es salaam akitokea Uganda ikiwa ni siku chache toka aliporudi nyumbani akitokea Marekani alikokuwa anatibiwa.
Chameleon amesema tatizo lililokuwa likimsumbua ni kuugua Kongosho na kufafanua kuwa Madaktari hawakusema kama ni pombe au sigara ndio chanzo bali ni ugonjwa tu ambao umempata kama magonjwa mengine ambapo hivi sasa anaendelea vizuri kiafya na kutumia dawa.
#MillardAyoUPDATES
You will continue to suffer if ou
have an emotional reaction to
everything that is said to you
True power is siting back and
observing things with logic. True
power is restraint. If words
control you that means everyone
else can control you. Breathe
and allow things to pass
Ukitaka kuishi vizuri hapa duniani, wewe onyesha kuwatambua watu, jali hisia zao, heshimu imani zao, hifadhi aibu zao, linda faragha zao na epuka kukanyaga rizki zao. Kisha ongeza matumizi ya maneno samahani na shukrani katika kauli zako. Ni mambo madogo yenye matokeo makubwa!"